Inatia shaka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Inatia shaka

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by urasa, Aug 23, 2010.

 1. u

  urasa JF-Expert Member

  #1
  Aug 23, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  WANAFICHA UKWELI,WANALAZIMISHA WATU WAENDELEE KUCHOKONOA NA KUDADISI,HAWAPO MAKINI NA KAULI ZAO,WANA UPOFU WA FIKRA WA KUSHINDWA HATA KUKUMBUKA KAMA JANA WALIZUNGUMZA NINI NA LEO WANAPASWA KUZUNGUMZA NINI,2005 JK ALIPODONDOKA JANGWANI WALISEMA NI MFUNGO NA SAFARI NDEFU ZA KAMPENI,MWANZA NAKO WAKASEMA UCHOVU WA SAFARI,JUZI JANGWANI WAKASEMA PRESHA,KISUKARI NA MFUNGO,TUNGOJEE KUTAJIWA NGONJWA JINGINE ATAKAPODONDOKA JAPO SI MAOMBI YA KUWA ADONDOKE TENA:A S-danger::A S-danger:
   
Loading...