Innovation kwenye Kampeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Innovation kwenye Kampeni

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mkimbizi, Aug 21, 2010.

 1. Mkimbizi

  Mkimbizi JF-Expert Member

  #1
  Aug 21, 2010
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 222
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hii kwanza imenishtua, nikajenga attention, then ikanifurahisha... Very creative wanted.JPG
   
 2. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #2
  Aug 21, 2010
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,711
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  [​IMG]


  Mkiwachagua wale wale mnaowachagua siku zote, mtasahauliwa vile vile wakati wote mambo mapya hutaka watu wapya, Nichague niwe mtumishi wako AMUA leo AMUA sasa, AMUA maana yake ni Afya, Maji, Uwajibikaji na Ajira.

  Diwani mtarajiwa
  Hassan Yahya Hussein


  source Michuzi
   
 3. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #3
  Aug 21, 2010
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,711
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  ukizingatia ni udiwani
   
 4. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #4
  Aug 21, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Chagua CHADEMA KWA MABADILIKO.
   
 5. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #5
  Aug 21, 2010
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Nimeipenda ubunifu huu
   
 6. m

  mwita ke mwita JF-Expert Member

  #6
  Aug 21, 2010
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 5,491
  Likes Received: 1,220
  Trophy Points: 280
  nimeipenda jamaaa ashinde
   
 7. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #7
  Aug 22, 2010
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,711
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  ningekuwa kwenye eneo lake ningemchagua kuwa diwani regardless ya kazi ya baba yake....
  watu wengi wanampiga madongo kwa ajili ya kazi ya baba yake....

  hata ujumbe wake umekaa vizuri, kuna wabunge hawana kauli mbiu kabisa
   
 8. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #8
  Aug 22, 2010
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Huyu ni mbunifu. Maneno yake matamu na yenye kushawishi umpe kura.
   
 9. Ng'azagala

  Ng'azagala JF-Expert Member

  #9
  Aug 22, 2010
  Joined: Jun 7, 2008
  Messages: 1,276
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  tehetehe
  sasa utabili wa baba yake ukoje? atashinda?
   
Loading...