Wagombea wapimwe afya

Wagombea wapimwe afya

Msharika

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2009
Posts
947
Reaction score
71
Jamini, Nadhani tuchukue hatuwa tusije kupata gharama za kumtibu rais kwa kodi badala ya kupata huduma toka kwake. Hili naomba tulipe uwezo wa kipekee kabla kampeni azijashika kasi. WAPIMWE FULL BLOOD PICTURE, NEUROLOGICAL IMPAIREMENT AND GENERAL PHYSICAL FITNESS. Na majibu yawekwe hadharani.
Ninadhani hiki kitakuwa cha maana zaidi kabla hatujapoteze muda wetu kupiga kura.
Tuchangie na tuweke mkakakti kwa vyama vya haki za binadamu kuandaa maandamano.
 
Back
Top Bottom