Campaign zimeanza lakini je? .......... Kama nilivyowahi kusema why tumeamka sasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Campaign zimeanza lakini je? .......... Kama nilivyowahi kusema why tumeamka sasa

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Livanga, Aug 23, 2010.

 1. Livanga

  Livanga JF-Expert Member

  #1
  Aug 23, 2010
  Joined: Apr 15, 2010
  Messages: 458
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Nakumbuka niliwahi kusema kwenye Post yangu ya kwanini tumeamka sasa na sio simetime before kwamba tunahitaji rais anayemjua mungu na kumtegema mungu katika uongozi wake, anayejua kulitumikia taifa ipasavyo sio kuwapa mafisadi kama ilivyo sasa.

  kutokana na kauli yangu ya MWENYE KUMCHA MUNGU NDIO NAANDIKA LEO NA KUHOJI VP KUHUSU KUANGUKA KWA RAIS JE.

  1. ni kweli kuwa swaumu ilikuw imembana
  2. je ni kweli anaumwa
  3. je nguvu za giza anazotumia
  4. najua wengi mtasema ni swaumu mimi nakataaa
  5. alijua kuwa anakibarua kigumu cha kampeni angeweza akafungulia kama laivyodai kufanya baada ya kuanguka
  6. LAKINI PIA NINA SWALI KAMA NI SWAUMU KWANINI KABLA YA KUANGUKA ALISEMA AISEE NDIO AKAKATA NETWORK KAMA SIO ALIONA NGUVU ZA MUNGU ZIKIMSUTA KUMBUKA UWANJA WA JANGWANI UMEWEKWA WAKFU NA NENO LA MUNGU HATUTAKI UCHAFU PALE
   MUNGU IBARIKI TANZANIA
   
 2. Pengo

  Pengo JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2010
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Aliona nini?Mbona mnaendekeza ushirikina utawafikisha wapi?Katika karne hii bado mijitu mijinga inaabudu ushirikina,aibu!
   
 3. Livanga

  Livanga JF-Expert Member

  #3
  Aug 23, 2010
  Joined: Apr 15, 2010
  Messages: 458
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  kwa bahati nzuri tunajua waliotumwa ni wengi huku kama mlivyowekwa kweny kila gari yenye picha yenu. lakini moyoni mwako unajua kuwa mnaendekeza sana hili swala na sisi hatulipendi. tunataka watu wamwabudu mungu mmoja ili waweze kutuongoza vyema na sio vingine. wewe utaona aibu mimi sitaona aibu mpaka mtakapojirekebisha na mkaacha mambo hayo machafu
   
 4. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #4
  Aug 23, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  swala la Saumu Sijui swaumu, mi naona ni tatizo la majibu rahisi, si mara ya kwanza kudondoka hadharani, hii ni mara ya Tatu, je akiwa peke yake na kina ridhone, akiwa na mkewe , Je koto huko mh.Rais Kikwete anaangukaga ? ama anapata pressure akiona umati wa watu wakati hana majibu yakuwapa /?
   
Loading...