Wasanii wauziwa viwanja FEKI

Wasanii wauziwa viwanja FEKI

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,165
Reaction score
60,513
Pichani wasanii mbalimbali wakiwemo waandishi wa habari na watu wengine wakimimika hivi karibuni kwenda kuviona hivyo viwanja vyao vinavyodaiwa kuwa ni "FEKI"!



b5_kisarawe_wasanii1.jpg


Angalia video hapa chini kupata ufafanuzi zaidi kuhusiana na sakata hilo ambalo limewashtua wengi hapa jijini Dar na kwingineko.

http://www.youtube.com/v/ZMRds_lriC...xd0d0d0&hl=en_US&feature=player_embedded&fs=1
 
Ni feki kivipi. Hawakupewa au vilikuwa madibwi? Viwanja feki fafanua please.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom