Mwinyi aliongozwa na Siti, leo Kikwete na Riziwani tutafika kweli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwinyi aliongozwa na Siti, leo Kikwete na Riziwani tutafika kweli?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pdidy, Aug 19, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Aug 19, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,265
  Likes Received: 5,635
  Trophy Points: 280
  Siamini imeika nchi kuongozwa na katoto kadogo kama riziwani
  ni mdogo wangu rafiki yangu lakini nafikiri ni wakati muafaka
  amuachie babake afanye maamuzi kama baba na sii kufwata ushabiki wa mwanae

  akuna asiejua sakata la masauni lilianzia wapi na mpaka wakatoleana matusi moshi ...ilipofika iringa mzee akaenda kumaliza atolewe kisa chukii binafsi ya riziwani juu ya masauni

  aikuishia hapo bashe akalalamika sana juu ya hili sio siri kila mtu anajua walitupiana maenno na riziwan na beno...aikuishia hapo kijana akaapa kummaliza kabla ajammaliza yeye..na kweli hatimae kijana bashe alipoona atamalizwa akakimbilia kwa rostam..bila kujua riziwan akisema ntakumaliza ata aje lowasa kikwete atakumaliza..na hilo lilotokea tena dodoma

  rais na bila aibu alifikia kusema nzega ...tumemchagua dk...k...watu akasema najua mtajiuliza maseali mengi ila bashe uraia wake una utata nasema hivi nzega tumemteua dk..atakaepinga basi aende mbele kudai...hii ni kauli chafu na mbovu kwa kiongozi kama huyu rais wa nchi kufwata matakwa ya mwanae

  kikwete ipo siku roho ya kisasi itakugeukia na utajuta kwa nini ...haya ni mawazo tu lakini itakapofika watu wamechoka najua akuna rangi rais utakaoacha kuiona

  naomba haya mambo ya chama kuendeshwa kifamilia yafe kabisa...nimesikitika sana ati na mtoto wa pinda nae alikuwa anagombea ubunge,,ati mtoto wa ...anagombea ati mtoto wa ......mbona wa lowasa agombei

  hivi nyie watu leo hii nyerere angewapa watoto wake madaraka ya chama tungekuwa na kikwete kweli??lakini ni uadilifu ndio uliofanya leo hii si tu kutotamani yaani hata hamu ya ubunge wale watoto awana wanafurahia maisha yao ya kila siku embu tubadilike marais
   
 2. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #2
  Aug 19, 2010
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,434
  Likes Received: 2,304
  Trophy Points: 280
  Huyu Ridhiwani anaiga watoto wa Sadam Husein walipokuwa hai na Gadafi kwa sasa. Ataishia mwisho mbaya sana kwani Watanzania hatutakubali kuongozwa na mtoto wa rais.....
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Aug 19, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,265
  Likes Received: 5,635
  Trophy Points: 280
  Rose nyerere alikataa kupewa viti maalum bungen alipomaliza muda wake unaweza kuona waadilifu wana muda wa kuongoza na muda wa kuishi na familia zao big up dada...
   
 4. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #4
  Aug 19, 2010
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,434
  Likes Received: 2,304
  Trophy Points: 280
  We jifanye hamnazo tu.... lakini usisahau kumpa Ridhiwani salaam. Mwambie mambo ya kujifanya yeye ni Uday wa Sadam Husein yana mwisho...
   
 5. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #5
  Aug 19, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,356
  Likes Received: 3,122
  Trophy Points: 280
  malaria sugu ndugu yangu.........kila thread wewe umekalia udini tu..............mods wako wapi.....kwanini usichangie ukweli ili tustawi......
   
 6. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #6
  Aug 19, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Sikutaka kucheka leo imenibidi Lol Uday Hussein aka Ridhiwani Kiwete!
   
 7. D

  DoubleOSeven JF-Expert Member

  #7
  Aug 19, 2010
  Joined: Jul 5, 2008
  Messages: 661
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  ....... ha ha ha! Kwa hiyo kina Tareq Aziz, Chemical na Comical Ali hapa kina nani? LOL. Jamaa flani kaniacha sina mbavu wakati akipitia majina ya MIJIKE ilopitishwa na NEC CCM kugombea ubunge viti maalum. Anaunganisha dots nyingi na Uday hussein. ha ha ha!
   
 8. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #8
  Aug 19, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kuna watu wamepinda sana ndugu yangu!
   
 9. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #9
  Aug 19, 2010
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,224
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Mkuu mpe MS stahili yake tafadhali, siyo kwamba 'anajifanya hamnazo', ni Hamnazo hajifanyi - ndivyo alivyo!
   
 10. KIMICHIO

  KIMICHIO JF-Expert Member

  #10
  Aug 19, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 1,184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Malaria sugu ndo walewale wa yaliyomo yamo mzoeeni hana shida ni malaria tu akipona ataacha.
   
 11. D

  Dick JF-Expert Member

  #11
  Aug 19, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 477
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ikiwa tulifika kwa Ruksa, na hapa tutafika japo kwa kuchechemea.
   
 12. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #12
  Aug 19, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Huyu jamaa kila akiingia kwenye mjadala wowote ni lazma achafue hewa.
   
 13. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #13
  Aug 19, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  Kumlinganisha Mama Maria Nyerere na hawa wengine ni kukosa heshim kabisa.
  Kila mtu mwenye akili timamu anajua scandal za Siti na Ana Mkapa.

  Siti na Anna Mkapa wako at par na mke wa Mugabe,au madikteta wengine wa Afrika
   
 14. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #14
  Aug 19, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Malaria Sugu, Jeykey .... kama wewe ndio mtoto mwenyewe wa mfalme, ujumbe wa Uday Hussein unakuhusu. Acha kuleta masihara na wananchi. Umri wako ni mdogo hivyo unajijengea uadui kwa bei rahisi. Yakikukuta ya kukukuta hakutakuwa na hilo genge lako kukutetea. Usitegemee watu watakaa chini kurekebisha katiba ili tuwape ulinzi watoto wa marais wastaafu milele. Soma alama za nyakati. Si Nyerere wala Mwinyi na wala si Mkapa alikubali watoto wake wasuguane na wananachi tena katika umri mdogo kama wako. Tena katika hoja za kugandamiza haki za wanyonge. Hawa wazee wanafahamu fika sababu, mwambie baba yako akakuulizie kwa niaba yako
  Elimu yako haitakuwa imekusaidia chochote, nikimaanisha hujajikomboa bado. Tafakari...chukua hatua...
   
 15. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #15
  Aug 19, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  where does ridhiwan fit ikiwa ni ma first lady watupu?
   
 16. NG'OTIMBEBEDZU

  NG'OTIMBEBEDZU JF-Expert Member

  #16
  Aug 19, 2010
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Hao mbona nao wapo! .................EL SAHAF ni Makamba mwabwabwaji!!.........siyo raia huku hatoi sababu; sawa na El Sahaf "they are nowhere in Baghdad, wakati majeshi na vifaru vipo mgongoni!!!!!
   
 17. Mponjoli

  Mponjoli JF-Expert Member

  #17
  Aug 19, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 668
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Ridhiwani tesa sasa hivi baba yako akitoka madarakani tutakusahau kabisa, lakini utaendelea kuwa advicate usijali
   
 18. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #18
  Aug 19, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Huyo dogo hana ubavu huo mnaotaka tuamini. Ongeeni mambo ya maana humu. Dogo hayupo kwenye system atamuondoaje huyo Bashe. I say Onother umbeya.
   
 19. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #19
  Aug 19, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,265
  Likes Received: 5,635
  Trophy Points: 280

  sema siko kwenye system sio atuko kwenye system sio mwenzako huyo ata kama anakupa vibia viwili vitatu
   
 20. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #20
  Aug 19, 2010
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,202
  Likes Received: 1,007
  Trophy Points: 280
  .
  Makamba na chiligati
   
Loading...