Madaktari wa wa rais acheni usanii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madaktari wa wa rais acheni usanii

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by kichenchele, Aug 23, 2010.

 1. k

  kichenchele JF-Expert Member

  #1
  Aug 23, 2010
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 522
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Kwa nin hawa madaktari wanaoshughurika na afya ya JK wanapenda kutoa majibu mepesi, kila anapoanguka tunaambiwa sukari ilikuwa imeshuka, uchovu wa safari, tulimshauri apumzike akagoma, na vijisababu vingine ambavyo ni very minor, if JK's moto is Kasi zaidi, nguvu zaidi, can these doctors assure us that Jk is goin to cope? wasifanye kazi kwa mazoea uwazi ni mzuri zaidi kuliko kukaa mnafichaficha, kuficha kwenu mnasababisha watu waanze ku-predict vitu tofauti kabisa
   
 2. b

  babygirl Member

  #2
  Aug 23, 2010
  Joined: Dec 5, 2008
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Thats very true we have to go with facts
   
 3. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #3
  Aug 23, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,862
  Trophy Points: 280
  dio msanii.....kaambiwa asifunge yeye anafunga...Kinana anasema kufunga au kutokufunga ni suala binafsi....:glasses-nerdy:
   
 4. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #4
  Aug 23, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Dr Kinana unategemea nini kutoka kwa huyu Msomali?
   
Loading...