Majina ya Viongozi wetu na Uongozi Bora | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majina ya Viongozi wetu na Uongozi Bora

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Umsolopogaas, Aug 22, 2010.

 1. U

  Umsolopogaas Member

  #1
  Aug 22, 2010
  Joined: Jul 18, 2010
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watu wanasema ukimwita mwanao Shida, Tabu, Mjeuri, Jinga … atakuwa na tabia hiyo hiyo.


  Sasa sisi tuna viongozi wetu wana majina wewe wacha tu.
  Rais anaitwa Kikwete, kazaliwa kijiji cha Msoga. Daktari wake anaitwa Mfisi. Waziri Mkuu wake anaitwa Pinda. Mgombea mwenza wake anaitwa Bilali. Alirithi utawala (au uongozi?) kutoka kwa Mkapa.


  Kwa mtaji huo utategemea Tanzania iwe kitu kingine zaidi ya “moja ya nchi zilizo maskini sana ulimwenguni” ambayo ndiyo imekuwa sifa yetu ya kudumu kwa miaka 50 sasa?


  Naona ili tuendelee inabidi tuwe na viongozi wenye majina yanayoashiria mafanikio, neema, success, achievement, accomplishment na siyo kinyume chake.
   
 2. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2010
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Does this make any sense?
   
 3. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #3
  Aug 23, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,862
  Trophy Points: 280
  It doesn't...hebu nagalia haya ya wenzetu THATCHER(muezeka kwa nyasi)...BUSH(kichaka).....BROWN(kahawia).....SOUTHGATE(lango la kusi)....SHOWCROSS(onyesha msalaba)
   
Loading...