Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wandugu salamu, Katika pitapita yangu nimekutana na hii. ETI MWAKA HUU TUME YA UCHAGUZI HAITATUMIA WAALIMU KUSIMAMIA UCHAGUZI! Je haya ni ya kweli? Na kama ni ya kweli, Je ni kuthibitisha kuwa...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Wakuu, nalazimika kuomba public plea kwa wapiganaji kadhaa ambao walikua chachu ya habari na mijadala hasa yenye kuelimisha members na non members wengine humu jamvini Bado tunawahitaji, hasas...
0 Reactions
49 Replies
5K Views
Nadhani wengine bado hatujasikia...mfano morogoro mjini na maeneo mengine kama Zenj kule Orodha ya wabunge waliochemsha CCM Tuesday, 03 August 2010 22:12 MAWAZIRI zaidi, vigogo wa CCM na...
0 Reactions
54 Replies
7K Views
MKE wa mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA, Dkt. Willibrod Slaa, Bi. Rose Kamili aliyekuwa akigombea ubunge Jimbo la Hanang kwa tiketi ya CCM, ametangaza kujitoa kwenye chama hicho tayari kujiunga...
0 Reactions
50 Replies
7K Views
Habari nilizosikia asubuhi hii toka ndani ya udondozi wa magazeti katika gazeti la Nipashe ni kuwa John Malecela-Mbunge wa Mtera ameshauriwa kutogombea Ubunge tena katika uchaguzi wa mwaka huu...
0 Reactions
57 Replies
5K Views
Wakuu, Toka nilivyosikia kuwa mwanasiasa na mwanasheria mkongwe nchini Mabere Marando kahamia CHADEMA, nimekuwa katika upembuzi yakinifu kutokana na historia yan nyuma ya mheshimiwa huyu. Mabere...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Maskan kaka ya ccm ya kisonge iliopo unguja eneo la michenzani round about, ambayo kwa miongo mingi ikitamba kuendesha siasa zanzibar na kuamini kuwa wao ndio wenye nchi wako ktk hali mbaya...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mwita Waitara Mwikwabe ameshinda kura za maoni za CHADEMA kwa kura nyingi dhidi ya Mbunge wa Sasa Charles Mwera, ambaye ni Mwenyekiti wa Halmashauri akimfatia. Nafasi ya tatu imeenda kwa John...
0 Reactions
31 Replies
7K Views
Stephen Ngonyani alias Prof. Maji Marefu amemshinda dokta Edmund Mndolwa kwa kula 12,441 dhidi ya 2,289 za Dokta Mndolwa. Naona bunge la safari hii lina watu kutoka 'matabaka yote'. Zaidi soma...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA Dk. Wilbroad Slaa akihutubia umati wa wakazi wa Mtwara alikoenda kutafuta udhamini sehemu ya umati mkubwa wa wakazi wa Mtwara mkutanoni hapo Mmoja wa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakati wa uongozi wake Julias Kambarage aliwahi kutoa nasaha nyingi, miongoni mwa hizo nasaha kama vile kuwambia watu wake msije mkafanya makosa na kumpa urais John M. Na miongoni mwa sababu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tumeona jinsi gani taifa letu linavyoendelea kuwa la takwimu na watu kuishi kutegemea takwimu ya watawala wetu bila kuzingatia hali halisi,ni kejeli na dharau ya hali ya juu kwa wafanyakazi kuja...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu mwenye CV/ maelezo ya kina kumhusu huyu Mchungaji aiweke jamvini tumfahamu huyu Mheshimiwa. Binafsi nimeshindwa kumuelewa/kumsoma ni Mwanasiasa wa aina gani
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Katika gazeti la Majira la tarehe 04.08.2010, Bw. Paul Mhozya amepinga Mahakamani Kikwete kugombea Urais 2010 Kwa sababu ya matumizi mabaya ya madaraka na ufujaji wa fedha za umma katika safari za...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
05 August 2010 Joyce Joliga, Songea WAFUASI wa Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema Dk Willibrod Slaa na wale wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliokuwa wakisubiri kumdhamini Rais Jakaya Kikwete...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mie ndiye muajiri mkuu nisikilizeni mimi, msimsikilize Mgaya (Kaimu Katibu Mkuu TUCTA) mtafukuzwa kazi wala Mgaya hamtamuona! Mtapoteza haki zenu…akili ni nywele kila mtu ana zake mtu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba kuuliza huyu Lameck Airo ndo mwenye Lacairo Hotel Mwanza Kirumba? Atangaza kumvaa baba yake kwenye ubunge Mbunge wa sasa wa jimbo...
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Kikwete alikuja na falsafa yake ya Ari mpya Nguvu mpya Kasi mpya Kwa kifupi ANGUKA. Sasa naona inafanya kazi..
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kweli huu ni uchaguzi wa mwaka ama wa historiah Huko Tanga habari zinasema naibu meya wa ccm ameamua kujiuzuru baada ya kuona rafu za ajabu zikitendeka na wazi wazi uongozi wa juu ukibariki...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom