Elections 2010 Lolensi Bukwimba hahitajiki tena Busanda!

Bandorajr

Member
Mar 27, 2010
19
0
Habari kutoka Buasanda zinasema mbunge aliyemaliza mda wake LOLENSIA(CCM) tayari imedhibitika hawezi kushinda kwenye uchaguzi mkuu mwaka huu.....na badala yake wananchi wa Busanda wamejiandaa kumchagua kijana wao FINIAS MAGESA (CHADEMA).

Habari zaidi zinasema alishinda uchaguzi mdogo last yr kwa msaada mkubwa wa kina MAKAMBA lakini this time hana msaada...

 
Mazee hiyo heading naweza kufanya wengine waamini mtu kafariki.
 
hili li dude ccm ndio iliyo dumaza kagera, mza, shinyanga, tabora, singida, mbeya, njombe, iringa, mlogolo, tanga, reli , bandari, viwanda, madini, vyama vya ushrika, mashule, chipitali, hivyo haitakuwa ajabu kama wana busanda wata amua hivyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom