"Not On Christian Mission" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"Not On Christian Mission"

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Masanilo, Aug 8, 2010.

 1. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #1
  Aug 8, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  The family of a British doctor killed along with eight foreign aid workers in Afghanistan has rejected claims she was preaching Christianity to Muslims.

  Karen Woo was among 10 people shot dead in the remote northeastern Badaskhshan province on Friday. Her body and those of seven others have arrived in Kabul for formal identification as police hunt for their killers.

  The 36-year-old British medic, who was due to marry this month, was murdered along with six Americans and a German as they were returning from a medical camp. On Saturday the Taliban claimed responsibility, saying the group and their Afghan interpreters were "spying for America and preaching Christianity".

  In a statement, Woo's family said her motivation was purely humanitarian.

  "She was a Humanist and had no religious or political agenda," the statement read. "She wanted the world to know there was more than a war going on in Afghanistan, that people were not getting their basic needs met.

  "She undertook this trek as a medical doctor, accompanying medical supplies and to provide treatment to people who lived in an extremely remote region who had little to no health care available. The Foreign Office confirmed the British doctor killed in Afghanistan was Dr. Woo, adding in a statement: "This is a deplorable and cowardly act which is against the interests of the people of Afghanistan who depended on the services she was bravely helping to provide."

  Another militant group -- Hizb-e-Islami -- also has claimed its members carried out the attack on the convoy, which had been visiting the neighboring Nuristan province. Despite the two claims, Afghan authorities have said they believe robbery was a motive in the ambush.


  Two Afghans also were killed in the attack, while one driver -- identified as Saifullah -- survived.

  He was taken in for questioning by police. He told them the convoy was confronted by a group of armed men, who stole their money and belongings before lining up the victims and shooting them. Saifullah said he was spared because he began to recite verses of the Koran, proving to the militants he was a Muslim.


  Source:
  FoxNews


  NB:
  Hii imesikitisha sana, hawa jamaa wamemuua huyo Dr aliyekuwa anawasaidia watu waliokuwa kwenye mazingira magumu kiafya. Sababu za kijinga ati alikuwa analeta ukiristo! Kwa Uislam ni mauwaji?????
   
 2. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #2
  Aug 8, 2010
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,061
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  Sad!!..
   
 3. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #3
  Aug 8, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Wanapo uliwa watoto na wanawake wa KiAfghanistan, hatusikii hata vyombo vya habari vikiripoti matukio hayo.
   
 4. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #4
  Aug 8, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kiongozi wewe unakubaliana na kitendo cha hawajamaa ? Hizb-e-Islami
   
 5. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #5
  Aug 8, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Ndio kina nani hao? Labda nikuulize nami swali... je nawe unakubaliana na mauwaji ya raiya wa KiAfghanistan, wanao uwawa kila kukicha na vikosi vya Kimagharibi?
   
 6. Monsignor

  Monsignor JF-Expert Member

  #6
  Aug 8, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 523
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwani yeye ndiye alye waua hao uanodai wanauliwa. Kwa mawazo yako haya hata huo mfungo wako utakuwa ni kejeli kwa huyo Allah wako
   
 7. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #7
  Aug 8, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mhhh this world could be a nice place to live without these Islamic fundamentalists! ugaidi wao, uuwaji bila sababu wao ......kazi kweli kweli
   
 8. C

  Choveki JF-Expert Member

  #8
  Aug 8, 2010
  Joined: Apr 16, 2006
  Messages: 448
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Mkuu je hujafahamu kuwa dunia hii Binadamu ni wa west tu?

  Si unaona walivyomkalia kooni mama Naomi Campell ati kapewa "illigal Diamond" kule ilikochimbwa, We ushaona wapi mtu akachimba dhahabu nchini kwakwe na ikawa haramu? Tena wanasema amenunulia silaha, je hizo silaha kanunulia wapi? mbona walomuuzia hawawakamati?

  DR Congo watu wanauawa kila leo, ushasikia wapi ikiongelewa? Wao wanajichimbia madini yao na kuyachukua kinyemela nyemela.

  Mzee Mugabe alivyowanyang'anya mashamba kidogo tu si uliona amewekewa vikwazo? akawa dikteta mkubwa duniani.

  Duniani kumejaa double standard kila kona, na kwa bahati mbaya watu wengi wanashindwa kuelewa kuwa nchi za ulaya na marekani wao ni masilahi yao tu, nothing more nothing less!- Pia kwa bahati mbaya zaidi wao ndo wanavimiliki vyombo vya habari, hivyo sisi akina yakhe tulie tu.
  :A S angry:
   
 9. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #9
  Aug 8, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Fundamentalists ni bora mara milioni kuliko hao unao watetea... Watu wapo kwenye nchi yao, wanauliwa kila kukicha lakini hatusikii mkikemea... Vita ni vita havina macho, ukiwa kibaraka wa maadui zako unategemea nini?
   
 10. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #10
  Aug 8, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Hata kama si yeye aliye wauwa lakini alikuwa anasapoti upande gani...? Ni kimbere mbere chake kilicho mpeleka kwenye nchi ambayo imeharibiwa na mabwana zake wa kimarekani na washirika wake. Alitegemea nini... kwani waAfghanistan walimwita au kumuomba msaada wake?
   
 11. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #11
  Aug 8, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Xpaster

  Nina rafiki na jamaa wa Kiislam, wanamioyo mizuri sana na mara zote wanachukia waislam wanaofanya mauwaji kwa kisingizio cha dini...nachukia hawa fundementalist maana nadhani wanaenda kinyume na uislam wa kweli. Islam ni neno la kiarabu lililotokana na "Salema" which means peace, purity, submission and obedience. Hata Mzanzibar wangu hapendi hawa wanaotumia upanga kuuwa kusingizia imani.
   
 12. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #12
  Aug 8, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Je hao askari wanao huwa na uku wakipeleka watu wa kuwabadilisha dini wale waliokosa makazi na kupata vilema kwa kutokana na wauwaji wa kimarekani ndio unao wapenda na kuwashabikia?

  Salema? Ndio kitu gani wewe masanilo
   
 13. Monsignor

  Monsignor JF-Expert Member

  #13
  Aug 8, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 523
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nyie mjahidina kweli mna matatizo kwani wewe ni Mafghanistani hadi ujue kuwa hawakumwita? Sawa hata kama kilikuwa kimbelembele na siyo kimbre mbere chake kwani hao wanaojifunga mabomu na kuyalipua msikitini na kuwaua waislam wenzao no ni shauri ya kimbembele? You make me sick. Your actions reflect a nature of beasts in you.
   
 14. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #14
  Aug 8, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Wewe ndio ujui unacho ongea wala ujui nini unacho tetea bora unyamaze kimya...!
   
 15. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #15
  Aug 8, 2010
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Masanilo aka Kikojozi

  Chacha njomba hii nayo ni chiacha ya Tanzania?
   
 16. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #16
  Aug 8, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Sishabikii wauwaji wa aina yeyote! Nasikitika nguvu kubwa inayotumika huko Pakistan, Afghanstan, Iraq na majeshi ya US na washirika wake. Mauwaji ya watoto na akina mama wasio na hatia nina yalaani kwa nguvu zote.

  Salema nadhani ndilo neno la kiarabu neno Islam lilikoanzia, naweza kuwa nimelikosea ila Islam maana yake ni Peace na unyenyekevu.
   
 17. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #17
  Aug 8, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Tulia wewe, nina majonzi sana na kifo cha huyu dada, unajua hakuwa hata anaujua ukristo? Iko jukwaa hili makusudi ili isomwe baadaye FARIDA ataihamisha.
   
 18. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #18
  Aug 8, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Basi wakati mwingine huwe makini na unacho copy na ku-paste.
   
 19. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #19
  Aug 8, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Ila majonzi kwa WaAfghanistan huna, maana wale si binadamu...!
   
 20. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #20
  Aug 8, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kujifunza kuna ruhusiwa....neno sahihi ni lipi? Salem ama Salema????

  Unajua huyu Dr Karen Woo hakuwa hata anaamini Ukristo? Amehojiwa aliyekuwa amwoe wiki zijazo sasa hivi hapa na El Jazira
   
Loading...