Elections 2010 2010 Kikwete T-shirts?

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878
33z63r8.jpg

Mtoto wa Rais Jakaya Kikwete Miraji Kikwete(kushoto) akiwa na Mdau akionyesha kwa Mbwembwe Flana Maalum za Kikwete 2010 - PHOTO: Haki Ngowi

Naona kampeni zimeanza rasmi, na familia inaonekana kumpa kampani ya maana 'mzee'.
 
Wangefanya haya CHADEMA au CUF wangeshashitakiwa kwa kuanza kampeni kabla ya wakati. Inji hii bwana...!!!
 
Unapokuta kijana wa makamo na anayekaa Dar amevalia hivyo licha ya karaha anazokumbana nazo kwenye mitkasi mbalimbali na kuwa exposed na kila aina ya habari; basi ujue Taifa letu lina mwendo mrefu mbele ya safari ... inasikitisha!!
 
9218e4672092yep92862!!

Hawa vijana wa namna hii ni kucharaza mitama tu wakipitakitaa!!
 
Kwa kweli sijaona familia limbukeni kama hii, haya hatukuyaona wakati wa Nyerere na Mwinyi hata wakati wa Mkapa, nasikia mtoto wa Nyerere pale UD alikuwa hataki kuitwa sirname(Nyerere) alikuwa hataki kujulikana kuwa ni mtoto wa rais leo hawa wenzetu utadhani ni urithi wao wa Taifa.
 
tehe tehe tehe...!!!!!!!!!!!
 
Inaanza Pole pole wakinogewa Utashangaa bunge litakapobadili katiba na kusema nchi ni monarch na mahakama ikasema haiwezi kufanya kitu.
 
Kwa kweli sijaona familia limbukeni kama hii, haya hatukuyaona wakati wa Nyerere na Mwinyi hata wakati wa Mkapa, nasikia mtoto wa Nyerere pale UD alikuwa hataki kuitwa sirname(Nyerere) alikuwa hataki kujulikana kuwa ni mtoto wa rais leo hawa wenzetu utadhani ni urithi wao wa Taifa.

Kuna kitu kinaitwa NDUMU Sijuiunakijua???? hako kakijana kanakoitwa Miraji ndo katumiaji................Unafikiri inamtuma kufanya nini????
 
Hayo yakipelekwa mahakamani watasema suala hili ni la kisiasa. Nji hii haki ni ngumu kupatikana
 
Hivi hao watoto wa JK mama yao ni mmoja? yaani Salma.

Mana naona ana watoto wengi.
 
wacheni majungu wanajamii so mnataka mtoto asi msupport baba yake? aliyemtunza huyo mtoto na kumsomesha si baba yake? mbona majungu yanakuwa mengi? mtoto lazima astand kwa baba yake kama wewe utapingana na baba yako go to hell
 
Kwa kweli sijaona familia limbukeni kama hii, haya hatukuyaona wakati wa Nyerere na Mwinyi hata wakati wa Mkapa, nasikia mtoto wa Nyerere pale UD alikuwa hataki kuitwa sirname(Nyerere) alikuwa hataki kujulikana kuwa ni mtoto wa rais leo hawa wenzetu utadhani ni urithi wao wa Taifa.

Nilisoma pamoja na mtoto wa Mwl. Nyerere, Emil Magige enzi hizo Mkwawa High School. Alikuwa anatumia jina lake hilo hilo, hakujulikana kuwa ni mtoto wa Nyerere, na kwa kuwa shule ilikuwa na wanafunzi wengi, haikuwa rahisi kumjua. .

Kulikuwa na tetesi kuwa hapa kuna mtoto wa Nyerere, lakini yeye hakupenda kujitambulisha hivyo. Wakati ule mtu alikuwa anapata sifa kwa tabia yake (iwe nzuri au mbaya), na sio kwa sababu ni mtoto wa mtu fulani.

Tulikuwa tunamheshimu Emil kwa tabia yake nzuri ya upole na unyeyekevu na si kwa sababu alikuwa ni mtoto wa raisi. Hii ndio ilikuwa tabia ya wakati le, lakini siku hizi sisi ambao hatuna majina ni kama watwana tu mbele ya jamii.
 
Wakuu naomba ufafanuzi nilimsikia mkuu wa takukuru akidai kuwachukulia hatua watakao gawa kanga, fulana na aina yoyote ya msaada wakati huu kuelekea uchaguzi maana ni moja ya rushwa na sheria iliyosainiwa kwa mbwembwe inakataza haya, sasa hizi fulana hazipo kwenye mkondo huo?
 
Swali Muhimu. Je JK ameshateuliwa na Chama Chake Mgombea? Je asipoteuliwa?
 
Back
Top Bottom