Wananchi wagomea mkutano wa DC
Source: Tanzania Daima
na Ahmed Makongo, Magu
WANANCHI wa Kijiji cha Yichobela, Kata ya Nyigogo, wilayani Magu, Mwanza, mwishoni mwa wiki waligoma...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bw. Chacha Wangwe amedai kuwa kama angepata nafsi ya kumpa ushauri Rais basi angemshauri Rais "avunje bunge ili sote turudi kwa wananchi na kuwapa wananchi nafasi ya...
Mheshimiwa Rais Kikwete,
Ombi rasmi mkuu. Unapounda baraza lako jipya, tuachie wale Wabunge wetu maarufu kama bakibencha. Usiwa-Bangusilo na kuwapa Uwaziri.
Twaomba wafuatao wasiwemo katika...
..ndugu zangu wakati wa sakata la ripoti ya Dr.Mwakyembe likiendelea Raisi Kikwete alifanya uteuzi wa Jaji Kiongozi na Majaji wa Mahakama ya Rufaa.
..Jaji Kiongozi Amiri Manento amestaafa na...
Ni mtihani mzito kwa JK leo
*Baraza kuibua au kuzamisha matumaini ya Watanzania
Na Mwandishi Wetu
RAIS Jakaya Kikwete leo anakabiliwa na mtihani mwingine mgumu katika kipindi...
Kuna nafasi tatu za kujaza, kama asipofanya recycle kuwarudisha mafisadi kwa kisingizio kwamba walijiuzulu wenyewe lakini bado 'taifa linawahitaji'.
Kwa kuzingatia kwamba kamati nyingine mbili...
Kuanzia mwaka Jana yule Mungu wa maajabu , Mungu wa kutumainiwa na watoa vilio aliamua kupiga kambi rasmi hapa nyumbani kwetu Afrika Mashariki na hasa Kenya na Tanzania .Najua sababu ni wetu wetu...
Posted Date::2/9/2008
Viongozi wastaafu, wapinzani wamshauri kwa Rais Kikwete
Na Andrew Msechu
Mwananchi
RAIS Jakaya Kikwete na Waziri Mkuu Mizengo Pinda, wameshauriwa kuhakikisha kuwa...
Wapinzani wanena
na Peter Nyanje, Dodoma
Tanzania Daima
WAKATI Rais Jakaya Kikwete akikuna kichwa kuhusiana na muundo wa Baraza la Mawaziri analotarajia kuliundwa upya, kambi ya ya...
Heshima Mbele wana Bodi,Nimekaa nikifikiria ni kwanini mpaka sasa ,Mheshimiwa Yusuph Makamba ambaye ni katibu mkuu wa chama Tawala ,mpaka muda huu hajatoa tamko kuhusu Tuhuma za Ufisadi za ukweli...
Kuna usemi kuwa watu wa usalama wa taifa huwa hawastaafu mpaka wanapokufa. Kutokana na yanayoendelea Tanzania ambapo vyombo vya ulinzi na usalama vimehusishwa na kashfa zinazoendelea karibuni za...
na Mwandishi Wetu
JARIDA maarufu la The Economist, kwa mara nyingine tena limefanya tathmini yake kuhusu mwelekeo wa kiuchumi wa Tanzania na Serikali ya Rais Jakaya Kikwete katika kipindi cha...
Pamoja na mabadiliko ya mawiziri ambayo tunayatarajia, pia mfumo wa utendaji kazi serekalini unahitaji mabadiliko makubwa.
Mpaka sasa mfumo wa utendaji kazi serikalini, kwa kiasi kikubwa...
JAMANI
Nafikiria na kufaraki kuhusu hili sakata la aibu na uzalendo wa kifisadi dhidi ya nchi yangu na watu wake. Ni kweli kwamba sasa hata mkulima kijijini ameshagundua kwa nini gharama za...
Jana katika kikao cha bunge, wachangia hoja waliopata nafasi waliwapongeza Lowasa, Karamagi na Msabahaa kwa uamuzi wao wa kujiuzuru. Kwa upande wangu sikuona sababu ya kuwapongeza watu ambao...
..kwa sababu imeenda kutembelea Kiwira Coal Mining inayomilikiwa na Mkapa na Daniel Yona katika mazingira ya kutatanisha basi ni lazima wawahoji Mkapa na Yona ni vipi waliweza kumiliki mgodi huo...
Katika kufuatilia mihangaiko ya Mh.Kikwete nimeona zile safari safari zake zilikuwa na lengo la kuwapa mwanya Mawaziri na alikuwa akipima uwezo wao wa kufanya kazi bila ya kuwepo yeye...
Mbunge Wa Moshi Mh. Ndesamburo Ameomba Mwanasheria Mkuu Na Mkurugenzi Wa Takukuru Wawajibishwe Pia, Na Kwamba Hili Ni Dili Limefanyika Na Ameomba Hatua Za Kisheria Zichukuliwe Kwa Wahusika Wote...
Ebwana eehh
hapa JF kama unavyojua kama server iko chini wengine hatuna pa kwenda
Nimejaribu kwenda KLH news nimeona hakuna forum
sasa ushauri wangu wewe unganisha LKH news na GUMZO ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.