Elections 2010 Nimeshinda Kura za maoni Kuipepersuha Bendera ya CHADEMA

Status
Not open for further replies.

Regia Mtema

R I P
Nov 21, 2009
2,970
864
Wakuu,

Jana tulikuwa na mchakato wa kura za maoni jimboni kwetu. Tulikuwa wagombea wawili katika chama chetu. Nimefanikiwa kushinda kura za maoni kwa kishindo na kumuangausha mpinzani wangu, hivyo kuipeperusha bendera ya CHADEMA katika jimbo hili.

Nimeandika historia kwa kuwa kijana wa kwanza kugombea kwenye jimbo hili tangu kurudi kwa mfumo wa vyama vingi kwa vyama vyote vilivyowahi kusimamisha wagombea ubunge kwenye jimbo hili. Ni mtaji kwangu..

Tuko pamoja...Hakuna kulala mpaka kieleweke.

Tafadhali naomba msiniulize nagombea jimbo gani. Ni jimbo moja la Mkoani, Wilaya yenye jimbo moja.. Zaidi ya hapo usiniulize.

Alunta continua
 
Hongera sana naona maombi yangu yamejibu kweli.
Maombi sasa nahamishia kwa Dr. Slaa sasa
 
Fide ulikuw ahujaanza tu kuomba kwa ajili ya Slaa??? hebu harakisha bana
 
Hongera sana GS kwa ushindi wa kishindo wa kura za maoni jimboni. Tunakutakia kampeni njema katika uchaguzi na ushindi wa mshangao............. ilikuwa vuta nikuvute lakini umeibuka mshindi kwa kumzidi mpinzani wako kwa kura nyingi. Kaza buti mkuu kanyaga twende hakuna kulala mpaka kieleweke.
 
Hongera GS...kumbe we front line eh...!
Go GS....:fencing:
 
kitaeleweka mwaka huu hakika..........matumaini yanaongezeka kila uchwao.

hongera sana GS
 
Wakuu.Jana tulikuwa na mchakato wa kura za maoni jimboni kwetu.Tulikuwa wagombea wawili katika chama chetu.Nimefanikiwa kushinda kura za maoni kwa kishindo na kumuangausha mpinzani wangu,hivyo kuipeperusha bendera ya CHADEMA katika jimbo hili.Nimeandika historia kwa kuwa kijana wa kwanza kugombea kwenye jimbo hili tangu kurudi kwa mfumo wa vyama vingi kwa vyama vyote vilivyowahi kusimamisha wagombea ubunge kwenye jimbo hili. Ni mtaji kwangu..

Tuko pamoja...Hakuna kulala mpaka kieleweke.

Tafadhali naomba msiniulize nagombea jimbo gani.Ni jimbo moja la Mkoani,Wilaya yenye jimbo moja..Zaidi ya hapo usiniulize.

Alunta continua

Hongera ndugu.....sasa inabidi usijifiche,umekuwa mtu-umma(public figure)...wenzio Mnyika,Zitto,Dr Slaa wanatumia true IDs...kwa hiyo come out na useme jimbo TUSAIDIANE kulichukua
 
Hongera sana GS nakutakia mafanikio mema tuko pamoja, mimi sigombei mwaka huu lakini chaguzi zijazo nitaibeba bendera ya Chadema na nitajitambulisha wazi kwa members wa JF, keep on going bro.
 
hehehehe!hongera sana kaka/dadaake na mimi
KANYAGA TWENDE :hug::hug:
 
ongela! halaf hakikisha yule invisible mysterious lover wako wa JF haathiri kampeni zako na utawala wako kama utachaguliwa. nitakutumia kiapo cha kuhakikisha utailinda katiba kupitia PM.
 
GS HONGERA SAAAAAANA. Wana JF mlango sasa umefunguliwa tunataka wengine wajitokeze. Jukwaa hili tunataka lizidi kupanuka. We need more voices to support wakina Slaa & Co.
 
Jamani ninawashukuru sana.Tupo pamoja,bado niko jimboni nafanya maandalizi kadhaa ya namna ya kujitambulisha..

Fidel endelea na maombi usiishie hapo,mambo ndio kwanza yameanza.bht afadhali umsisitize Fidel aanze kuomba for Dr Slaa nashangaa kwanini mpaka sasa alikuwa bado hajaanza,lakini hata hivyo hajachelewa kwa kuwa kwa MUNGU hakuna kuchelewa.
 
Hongera sana GS
kumbe ndiyo sababu ulipotea siku chache zilizopita.
Naungana na wenzangu kukutakia kila la kheri
 
nyie ndio wenye roho za kwanini na hamtaendelea kamwe, wakati wenzako wakitafuta maendeleo kwa njia mbalimbali wewe unakuwa na roho ya korosho, toa kinyongo kama wewe ni kijana jitose popote hata kwenye gamba la kijani nenda sio kukatisha tamaa wenzako nitakuweka kwenye kundi la kina malaria sugu wanaopinga kila kitu, shame on you.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom