utapiga kura 2010? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

utapiga kura 2010?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Haika, Aug 31, 2010.

 1. H

  Haika JF-Expert Member

  #1
  Aug 31, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,318
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Nimegundua kuwa humu kuna washabiki wengi sana wa siasa, wakereketwa nk.
  Je wewe ni kati ya wapi hao? unaweza kujibu uongo au ukweli, japo ukeli hupendeza zaidi, au ukajipa jibu mwenyewe halafu ukajipa maksi kwa jibu lako

  JE UTAPIGA KURA?

  Mie nitapiga kitambulisha ninacho, muda nimetenga, nimecheki jina lipo, je wewe?
   
 2. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #2
  Aug 31, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Haika,

  Watu wakishajibu utatoa matokeo? Utapima vipi wanaJF wameonyesha nia yao ya kujitokeza kupiga kura!

  Nashauri anzisha poll ambazo zitawahusu wote wanaotemebela humu, hapo itakuwa swa!!

  Ciao
   
 3. H

  Haika JF-Expert Member

  #3
  Aug 31, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,318
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  thks lakini ukweli wa mtu aujua mwenyewe, hata poll huwa hazina ukweli sana, kila mtu ajiexamine na kujigrade mwenyewe
   
 4. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #4
  Aug 31, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Sasa kama ni hivyo kwanini umeuliza?
   
 5. H

  Haika JF-Expert Member

  #5
  Aug 31, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,318
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  si usome hapo juu? nimeandika sababu, au nibadili lugha niweke kiinglishi?
   
Loading...