Imani na AHADI za mwana CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Imani na AHADI za mwana CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by pcman, Aug 29, 2010.

 1. pcman

  pcman JF-Expert Member

  #1
  Aug 29, 2010
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 743
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Hivi aliyetunga hivi vitu yupo hai?.


  * Binadamu wote ni Sawa
  * Kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake
  * Ujamaa na kujitegemea ndiyo njia pekee ya kujenga jamii ya watu walio sawa na huru  AHADI ZA WANACHAMA WA CHAMA CHA MAPINDUZI


  (1) Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja
  (2) Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote
  (3) Nitajitolera nafsi yangu kuondosha umaskini, ujinga, magonjwa na dhuluma.
  (4) Rushwa ni adui wa haki, sitapokea wala kutoa rushwa.
  (5) Cheo ni dhamana, sitatumia cheo changu wala cha mtu mwingine kwa faida yangu.
  (6) Nitajielimisha kwa kadri ya uwezo wangu na kuitumia elimu yangu kwa faida ya wote.
  (7) Nitashjirikiana na wenzangu wote kujenga nchi yetu.
  (8) Nitasema kweli daima, fitina kwangu mwiko.
  (9) Nitakuwa mwanachama mwaminifu wa CCM na raia mwema wa Tanzania na Afrika.

  source: Chama Cha Mapinduzi - CCM
   
 2. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #2
  Aug 29, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Walimzika na kuzika falsala yake. Leo ni mimi na familia yangu na nitatumikia tumbo langu kwanza.
   
 3. Ally Msangi

  Ally Msangi Verified User

  #3
  Aug 30, 2010
  Joined: Jun 29, 2010
  Messages: 576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  alisha kufa huyo. sikuhizi haki haipo
   
 4. T

  Tata JF-Expert Member

  #4
  Aug 30, 2010
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,729
  Likes Received: 645
  Trophy Points: 280
  Alishakufa, kuzikwa na kusahaulika. Siku hizi kuna video clips za hotuba zake na wanachagua yale maeneo wanayoyapenda kuyasikia tu. Mengine wanakatilia mbali.
   
 5. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #5
  Aug 30, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,767
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  Wakuu hizo zilikuwa na ahadi za CCM (TANU na ISP) kabla ya miaka ya 70 mpaka miaka ya 80 wakati mwalimu anan'gatuka basi na hizo imani zikaanza kubadilishwa taratibu, sasa hivi zinasokeka hivi.
  (1) Binadamu wote si ndugu zangu na Afrika si moja
  (2) Sintaitumikia nchi yangu na watu wake wote kwa moyo mmoja
  (3) Nitajitolera nafsi yangu kuongeza umaskini, ujinga, magonjwa na dhuluma kwa wananchi.
  (4) Rushwa si adui wa haki, nitapokea na kutoa rushwa.
  (5) Cheo si dhamana, nitatumia cheo changu na cha mtu mwingine kwa faida yangu.
  (6) Nitajielimisha kwa kadri ya uwezo wangu na kuitumia elimu yangu kwa faida binafsi na
  familia yangu.
  (7) Nitashirikiana na mafisadi wenzangu kunyonya nchi yetu.
  (8) Nitasema uwongo na fitina daima
  (9) Nitakuwa mwanachama mwaminifu wa CCM kwa faida yangu binafsi.

  DR. SLAA TUNAHITAJI TUNU ZETU - UZALENDO WETU - UWAJIBIKAJI SERIKALINI - KATIBA MPYA - VIVA TANGANYIKA - HIMA HIMAAAA.
   
 6. c

  chach JF-Expert Member

  #6
  Aug 31, 2010
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 428
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 60
  It is very dangerous when you have people who do not believe in what they say.hivi hawaoni kwamba hawajengi ujamaa?elinino umenena
   
 7. k

  kasimba123 JF-Expert Member

  #7
  Aug 31, 2010
  Joined: Apr 18, 2010
  Messages: 1,318
  Likes Received: 188
  Trophy Points: 160
  (2) Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote
  hiki nafikiri kisomeke hivi

  Nitaitumikia nchi yangu na watu wote kwa faida ya tumbo langu eeh meno nisaidia

  ndio maana wanatoarushwa kupata uongozi kwa sababu wamebadilisha hiki kipengele na kukisoma hivi
   
Loading...