CHADEMA ni ya Tanganyika au ya Tanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA ni ya Tanganyika au ya Tanzania?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Calipso, Aug 28, 2010.

 1. C

  Calipso JF-Expert Member

  #1
  Aug 28, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 284
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Safu ya uongozi wa chadema imabase upande mmoja,si sura ya Muungano kabisa,ni ya upande wa Tanganyika tu, Mwenyekiti ( Mbowe )-Tanganyika, M/Mwenyekiti ( Arif )-Tanganyika, Katibu mkuu ( Slaa )-Tanganyika, Naibu katibu mkuu ( Zitto )-Tanganyika.. hii inaonesha wazi kabisa kuwa chadema bado ni chama kichanga ama ni kama chama kipya,then mnakuja kuomba kura zetu tukupeni nchi,ikiwa hili dogo tu mmeshindwa kabisa kuonesha taswira nzuri miongoni mwa jamii, je! mkishika serikali? au mnataka tuamini kuwa nyinyi ni chama cha baadhi tu ya mikoa,tena kwa kupambwa tu na magazeti.. Kwanini vitu kama hivi ikiwa nyinyi mpo makini mmeshindwa kutengeneza mazingira mazuri,tena si hilo tu, hata mgombea mwenza wa Dr Slaa,ni mtu wa kuokotezwa tu,tena hata hilo darasa ni mtihani.. Inakuwaje kwa hili Dr slaa,Mbowe,Zitto? lazma muende na wakati,na mazingira ya nchi...
   
 2. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #2
  Aug 28, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  mmh! Subiri waje!
   
 3. C

  Calipso JF-Expert Member

  #3
  Aug 28, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 284
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kwani ukweli unauma?
   
 4. B

  Bull JF-Expert Member

  #4
  Aug 28, 2010
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wamekesha kwenye maombi, ngoja wakiamka watakujibu.

  Sikunyingi maswali kama haya na mengineyo wameshinda kupatiwa ufumbuzi, labda safari hii watakuwa wamepewa dirrection na jinsi ya kuyajibu toka vatican city !!
   
 5. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #5
  Aug 28, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  hebu tuwekeeni CV ya huyo mgombea mwenza wa slaa. Ni kweli chadema ni chama cha kitanganyika zaidi wala si cha kiTanzania. Sura ya uongozi tu yenyewe inajionesha wazi kabisa.
   
 6. Freetown

  Freetown JF-Expert Member

  #6
  Aug 28, 2010
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35

  CCM,
  1. Mwenyekiti ( Kikwete)-Tanganyika
  2. M/Mwenyekiti ( Msekwa )-Tanganyika
  3. Katibu mkuu ( Makamba)-Tanganyika
  Endeleza hii orodha......................................
   
 7. C

  Calipso JF-Expert Member

  #7
  Aug 28, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 284
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  So umekubali kujifananisha na ccm? altleast hao mafisadi wana makamo wawili mmoja bara,mmoja zenji. na naibu vile vile. lkn ni hao kwa hao
   
 8. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #8
  Aug 28, 2010
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,437
  Likes Received: 2,349
  Trophy Points: 280
  Zanzibar si ni nchi nyingine... ama?
   
 9. D

  DRV Member

  #9
  Aug 28, 2010
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  jamani CHADEMA wanaye Naibu katibu mkuu kutoka Zanzibar (Yusuph). Lakini tuwe wakweli tuweke ushabiki CCM iko ilivyo kwakuwa tunaelewa wote ilivyoundwa mwaka 77 kwahiyo tupunguze ushabiki. CHADEMA wameanzia bara ni kweli lakini wanajijenga taratibu hata huko Zanzibar. Tuwape nafasi ya kujijenga kabla ya kuwashutumu tu.
   
 10. Jituoriginal

  Jituoriginal JF-Expert Member

  #10
  Aug 28, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 362
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kapime kwanza malaria kichwani, udini wa Ccm na Utanganyika hujauona, Jk, msekwa,makamba,chiligati , aggrey mwari, amosi makala,Tambwe Hiza ,ni wapemba? dont open ur mouth without researcher .hatudanganyiki.
   
 11. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #11
  Aug 28, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Umefunga kazi. Nimekuongezea senkisi
   
 12. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #12
  Aug 29, 2010
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  CCM Imejijenga Tangu 1964... sheria za kulindana na kubagua watu... Angalia Malecela ni mbunge toka sijazaliwa na sasa nazeeka bado mbunge... Uh anagombea ubunge...

  Well Vyama Vya Upinzani havipaswi kuwa kila kona ya nchi sababu havina pesa na watu wa bora wa kugombea sehemu za Ubunge, hii itasaidia in years to come Rome haikujengwa kwa siku Moja... CCM ina kila kitu hadi katibu kata na analipwa na ana gari so vyama gani vya upinzani vina hiyo pesa?

  Labda wagawiwe Kila chama cha upinzani mgodi mmoja wa Madini wa CCM

  Waacheni Jamani hawa wapinzani -- Mwenye nia Atashinda...
   
 13. C

  Calipso JF-Expert Member

  #13
  Aug 30, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 284
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nakushangaeni saana kujifananisha na ccm,jenga hoja kwa chama chako kiweze kujirekebisha kasoro zilizokuwepo ambazo ni hatari kwa taifa,badala ya kujifananisha na ccm ambayo tushachoka nayo,ccm ni kikongwe ambacho hata uzazi hakina tena,kipo kipo tu kinasubiri siku yake kitiwe kaburini...
   
 14. Macos

  Macos JF-Expert Member

  #14
  Aug 31, 2010
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 1,831
  Likes Received: 1,004
  Trophy Points: 280
  wewe umetaja majina ya watanganyika tu....lakini ccm ni kamati kuu ndio yenye maamuzi...humo wamo salim ahmed, nahodha waziri kiongozi, ali hassan mwinyi , salmin amour ,karume , feruzi katibu mkuu zanzibar , yumo ali ameir , mwenyekiti wa vijana ni kutoka huko...na naibu katibi wake...
  Na kuna mwenyekiti., manaibu kutoka sehemu zote yaani msekwa na karume, kuna ktibi mkuu na manaibu wake kutoka sehemu zote ,
  kuna wajumbe wa hamashauri ya ccm kutoka sehemu zote na wazenji wana good number propotionately,
  wote waliwapitisha wagombea wao...

  Sasa jiulize ni mjumbe gani wa chadema zanzibar alimpitisha slaa ???/
  hapo ndo utajua hichi ni cha wanafamilia wengine wanafuata mkumbo wengine ni katika wanafamila
  na huyo mgombea mwenza alikua cuf sasa sijui wameazimwa ?
   
 15. J

  JokaKuu Platinum Member

  #15
  Aug 31, 2010
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,791
  Likes Received: 5,054
  Trophy Points: 280
  ..kwani kuna ubaya gani kikiwa chama cha Tanganyika, na kisihusishe wa-Zanzibari?

  ..wa-Zenj hawaishi kunung'unika kwamba hawataki muungano, nyinyi bado mnataka kuwang'ang'ania.

  ..kama Chadema ni chama cha Tanganyika ni kwasababu wa-Tanganyika hawatakiwi Zenj, na pia wa-Zenj wanauchukia muungano.
   
Loading...