Elections 2010 Kwa nini CUF wanaukimbia uwanja wa Jangwani?

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
233

Siku ya Ijumaa CUF walifanya mkutano wao wa uzinduzi wa kampeni pale Kidongo Chekundu maeneo ya Gerezani jijini Dar. Jee hii ni kutokana na kupungukiwa wafuasi na kuona kuwa kule Jangwani wangeonekana wanapwaya? Kwa maana nyingine jeuri ya kuitisha mikutano mikubwa mikubwa kama vile ya 2000 na 2005 imepotea?

Tukumbuke hadi sasa CUF ndiyo ina rekodi ya kufanya mkutano uliofurika watu pale Jangwani mwaka 2000, mkutano wa kampeni ambao watu wenye kumbukumbu walisema unakumbushia mikutano ile ya kudai Uhuru miaka 50 iliyopita (ingawa mimi bado siliamini sana hilo kwani Dar wakati ule ilikuwa na wakazi si zaidi ya laki 3.)

Ni kweli, mkutano wa CUF wa Kidongo Chekundu siku ya Ijumaa ulionekana kufurika watu – lakini uwanja huo ni mdogo sana ukilinganisha na ule wa Jangwani.

Halafu isitoshe CUF walichagua siku ya Ijumaa kufanya huo mkutano wao kwa sababu moja kuu – kwamba ni siku Waisilamu wengi maeneo ya jirani waliokuwa kwenye sala ya Ijumaa walipomaliza tu wakaenda mkutanoni kutokana na ukaribu. Hali kadhalika wafanyakazi waliotoka maofisini.

Hii pia inaongeza ile hoja kwamba CUF ni chama cha Kiisilamu. Halafu kama ulichunguza sana picha za magazeti zilizoonyesha mkutano huo na ule wa Chadema kule jangwani siku ya pili yake – utaona ule wa CUF wahudhriaji weni walikuwa wamevalia baraghashia kuliko ule wa Chadema. Ziangalieni hizo picha tena.

Si CUF tu hata Mh Pinda hajwahi kwenda Jangwani! Tuwekee picha mazee hawa CCM B watakataaa
 
Wanaogopas lipumba asije akalamba mchanga km kikwete,...........
 
Siku ya Ijumaa CUF walifanya mkutano wao wa uzinduzi wa kampeni pale Kidongo Chekundu maeneo ya Gerezani jijini Dar. Jee hii ni kutokana na kupungukiwa wafuasi na kuona kuwa kule Jangwani wangeonekana wanapwaya? Kwa maana nyingine jeuri ya kuitisha mikutano mikubwa mikubwa kama vile ya 2000 na 2005 imepotea?

Tukumbuke hadi sasa CUF ndiyo ina rekodi ya kufanya mkutano uliofurika watu pale Jangwani mwaka 2000, mkutano wa kampeni ambao watu wenye kumbukumbu walisema unakumbushia mikutano ile ya kudai Uhuru miaka 50 iliyopita (ingawa mimi bado siliamini sana hilo kwani Dar wakati ule ilikuwa na wakazi si zaidi ya laki 3.)

Ni kweli, mkutano wa CUF wa Kidongo Chekundu siku ya Ijumaa ulionekana kufurika watu – lakini uwanja huo ni mdogo sana ukilinganisha na ule wa Jangwani.

Halafu isitoshe CUF walichagua siku ya Ijumaa kufanya huo mkutano wao kwa sababu moja kuu – kwamba ni siku Waisilamu wengi maeneo ya jirani waliokuwa kwenye sala ya Ijumaa walipomaliza tu wakaenda mkutanoni kutokana na ukaribu. Hali kadhalika wafanyakazi waliotoka maofisini.

Hii pia inaongeza ile hoja kwamba CUF ni chama cha Kiisilamu. Halafu kama ulichunguza sana picha za magazeti zilizoonyesha mkutano huo na ule wa Chadema kule jangwani siku ya pili yake – utaona ule wa CUF wahudhriaji weni walikuwa wamevalia baraghashia kuliko ule wa Chadema. Ziangalieni hizo picha tena.

Ni kweli. Hata nami niliangalia hizo picha na kushangaa!
 
c5.jpg

Angalia Hijab hizo!
 
Uwanja wa jangwani una UPAKO - Mtu mwenye mambo ya giza lazima apige mweleka.
 
Kitu cha msingi ni kuleta ushindani mkubwa kwa chama cha ccm na kukiondoa madarakani bila kujali itikadi ya vyama.
Kama unadhani cuf wanafaa basi piga kura ya NDIYO kwa CUF.Kama unaona CHADEMA inafaa basi piga kura ya NDIYO.
Hii ndiyo Demokrasia tunayoipigia makelele na elimu ya uraia ambayo ni haba sana kwa watanzania walio wengi.
MYTAKE:

  • Tuwashauri ndugu zetu kujua haki na wajibu wa kupiga kura kuchagua viongozi,na sio kuishia kulalamika kila kukicha.
  • Tuwafundishe watoto wetu kwenye vyuo vya uandishi wa habari waache kulalamika kila kukicha kuwa wanaonewa na hawapewi haki ya kupata habari.
  • Tuwaeleze ndugu zetu athari za kupewa rushwa ya uchaguzi 2000 na baada ya uchaguzi unairudisha bila wewe kujua.
  • Mbona Tanzania kuna wasomi vijana wengi tuu wanatoka vijijini?hawaoni hili?viongozi wote wanaoshabikia ccm leo walisoma bure,iweje leo watuambie tulipie pesa nyingi hivyo?AMUA SASA.
 
Ni kweli. Hata nami niliangalia hizo picha na kushangaa!

Mi naona ingawa CUF sio chama cha Kidini(kama wanavyosema viongozi wao) lakini wangepunguza zile elemnts zinazoleta hisia za kidini.
Kwa mfano kwenye mikutano ya CUF mbani la balaghashia na shungi kuwa nyingi lakini pia utaratibu wa kukaa, Wanawake wanakaa upande wao na wanaume upande wao.
N ukithubutu wewe wa jinsia nyingine uende upande ambao si wa jinsia yako, Unanyanyuliwa.
Yaani ni kama katika mikutano ya Kiislamu.
 
Upuuzi na bla bla zisizokuwa na kichwa wala miguu.Endeleeni kufanya uchochezi wa kidini ndani ya siasa mtaula wa chuya.Kama Jangwani ni ya wale wa upako kwa maana ya Wakristo na Kidongo chekundu ni kwa wanaovaa balaghashia nchi hii si ya watu wa upako wala ya wanaovaa balaghashia.Poleni kwa porojo zenu na mawazo ya giza.

Hii inathibitisha kuwa hamjui siasa na wenye kujua siasa utawaona wanakuja na hoja za maana siyo kuleta hisia za kidini.
 
View attachment 13034
Je hapo wamekaa jinsia moja tu kama unavyodai?

Achana na haya mazezeta. Sikutaka hata kuandika lakini imenilazimu baada ya kuona comment yako. Hay ni mazezeta, yes diyo. kma kweli wangekuwa na nia ya dhati wasingeanza kuipiga vita CUF. Chakuchekesha zaidi ni kuwa hao waislam ndo wengi hapa nchini sasa sijui watashinda vipi kama hao wasipowapa kura. labda wakashinde kanisani. Habari nyingi ni za kupika tu. Mwaka 2005 CUF walifungulia kampeni zake palepale kidongo chekundu. Tunajua wanatafuta kuungwa mkono na waislam. Lakini kwa mtaji huu wamajungu imekula kwao. wangekuja na hoja na si kuwakashifu. We shall see watakapoishia.
 
Hii pia inaongeza ile hoja kwamba CUF ni chama cha Kiisilamu. Halafu kama ulichunguza sana picha za magazeti zilizoonyesha mkutano huo na ule wa Chadema kule jangwani siku ya pili yake – utaona ule wa CUF wahudhriaji weni walikuwa wamevalia baraghashia kuliko ule wa Chadema. Ziangalieni hizo picha tena.

Hizi ni hoja za kupuuuzi na ni kupoteza mda kujibu upuuzi, kama nyie washabiki wa chadema hamjuwi kuomba kura kwa wananchi mpaka mje na vihoja vya kipumbavu kama hivyo mnapoteza mda maana CUF itabaki kuwa chama mbadala cha kushika dola mkipenda msipende na hayo madai yenu ya ki-CCM hayata kusaidieni chochote kujenga chama chenu.

CUF imejiimarisha bara na visiwani ndiyo maana tuna wagombea makini maeneo yote, na hatuzowi tu ....std7, chekechea, vidudu n.k halafu tukajinadi kuwa ni chama makini....kwa madai hayo ya kipuuzi mumechelewa tafuteni kura acheni pumba hizoooooo!!!
 
Achana na haya mazezeta. Sikutaka hata kuandika lakini imenilazimu baada ya kuona comment yako. Hay ni mazezeta, yes diyo. kma kweli wangekuwa na nia ya dhati wasingeanza kuipiga vita CUF. Chakuchekesha zaidi ni kuwa hao waislam ndo wengi hapa nchini sasa sijui watashinda vipi kama hao wasipowapa kura. labda wakashinde kanisani. Habari nyingi ni za kupika tu. Mwaka 2005 CUF walifungulia kampeni zake palepale kidongo chekundu. Tunajua wanatafuta kuungwa mkono na waislam. Lakini kwa mtaji huu wamajungu imekula kwao. wangekuja na hoja na si kuwakashifu. We shall see watakapoishia.

Mimi Islam ila kura yangu CHADEMA! CUF ni hatari imekaa zaidi kama Islamic Jihad.
 
Back
Top Bottom