CCM kwa hili tusilaumiane | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM kwa hili tusilaumiane

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by masasi, Aug 31, 2010.

 1. m

  masasi Member

  #1
  Aug 31, 2010
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tulipeana onyo kuhusu kutoingiza maisha binafsi ya mtu na kampeni za uchaguzi wa mwaka huu ktk ngazi yoyote ile,tulitoa rai pia hata kwa vyombo vya habari vyenye mtazamo wa kuandika maisha binafsi ya watu waache mara moja,inaonekana huu ni mkakati maalumu wa chama hiki kizee na hata wizara husika imekaa kimya juu ya vyombo hivyo vyenyye kuingilia maisha binafsi ya watu tena vinavyomilikiwa na rostam kada wa ccm na kinara wa wizi wa epa,leo wameendelea kuandika maisha binafsi ya dr slaa huku wakisahau onyo la baraza la habari tanzania kuhusu miiko ya uandishi,wanasema akuanzae mmalize,huyo mgombea wao kama alikuwa hana taarifa,wampe sasa ya kuwa eva wa arusha afya yake ni mbaya na yupo kitandani kwa sasa hoi taabani,ukiwa arusha kwenye kampeni zako jaribu kumtafuta kwani hawala hana talaka.
   
 2. Questt

  Questt JF-Expert Member

  #2
  Aug 31, 2010
  Joined: Oct 8, 2009
  Messages: 3,013
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Sijakuelewa hapo ndg yangu....unaweza ukafafanua kidogo??????
   
 3. w

  wa 16 Member

  #3
  Aug 31, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hata mi sijamuelewa
   
 4. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #4
  Aug 31, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,279
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Haya bwana, naona sasa mambo yamekuwa mambo? JK ana hawala anaitwa Eva ambaye yuko kaput kitandani akisubiri uamuzi wa Israel?? Hata hivyo sidhani kama hili litakuwa jambo la kushangaza wengi!!
   
 5. m

  masasi Member

  #5
  Aug 31, 2010
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hapo ni typing error,ni yeye jk akiwa arusha amtembelee hicho kiburudisho kigonjwa​
   
 6. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #6
  Aug 31, 2010
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,785
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hivi na yule binti wa ASAS (mwenye kampuni ya Maziwa ) ni kiburudisho chake pia?
  Je! Waliwahi kuvinjari naye RUAHA park wakati fulani?

  Ni maswaala tu ...hapana ni MASWALI tu.
   
 7. w

  wakumbuli Senior Member

  #7
  Aug 31, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  N dugu yangu kuwa muwazi zaidi kwa hili,hujaeleweka
   
 8. C

  Chief JF-Expert Member

  #8
  Aug 31, 2010
  Joined: Jun 5, 2006
  Messages: 1,408
  Likes Received: 149
  Trophy Points: 160
  Du! Itabidi tukuanzishe shule ya ngumbaru:)
   
 9. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #9
  Aug 31, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,354
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  Kumekucha!!!
   
 10. Tonge

  Tonge JF-Expert Member

  #10
  Aug 31, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Okkkkkkkkkkkkkkkkk ndio maana kila siku jamaa anazimika tu.Haya sasa siri zinaanza kufichuka taratibuuuuuuuu.
   
 11. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #11
  Aug 31, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 9,695
  Likes Received: 2,987
  Trophy Points: 280
  Kwa Makamba kuanza kumchambua Dr. Slaa, sasa ruksa kumjadili JK, tuanzie na afya yake. JK ana kifafa, na kwa vile ugonjwa huu uko katika mfumo wa ubongo wa mgonjwa ni dhahiri kuwa JK hafai kuwa rais. Na shangaa hata Chadema kutojumuisha hoja ya afya ya JK katika pingamizi walilomwekea.
   
 12. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #12
  Aug 31, 2010
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  jama! jama! angalieni! mi sijasema
   
 13. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #13
  Aug 31, 2010
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Kwani Eva hana contakti zake?? au ndo yuko Mautiuti... hebu nielekeze aliko nikaongoze sala ya toba
   
 14. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #14
  Aug 31, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,045
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  hujaelewa nini?
   
 15. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #15
  Aug 31, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,068
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Umeanza vizuri lakini baadaye ukatuacha njia panda. Simma mtoto wa kiume umwage data kisawasawa
   
 16. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #16
  Aug 31, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,969
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135

  Katika eneo wasaidizi wake wanapata shida ni wakati anapokuwa na huyo binti, kwani hasikii wala hambiliki. Kuna siku alimkumbatia hazarani, wasaidi wake wakawai kumchomoa haraka huyo mama.
   
 17. B

  ByaseL JF-Expert Member

  #17
  Aug 31, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 2,222
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mimi sijawai kuona kampeni ambayo aina chembechembe ya rough hata kidogo labda za mwaka huu. CCM inaogopa nini hasa? Hata kule Marekani walichimbua ya Kasisi wa Obama kule kanisani kwake na ikawa kasheshe! Sembuse sisi tunaoibiwa kila kukicha na wenye kushika dola? Kuna ubaya gani watu wakisema JK anatanua sana? Nayo ni matuzi?
   
 18. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #18
  Aug 31, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,145
  Likes Received: 577
  Trophy Points: 280
  huyo biint wa asas yuko nae had hivi sasa
   
 19. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #19
  Aug 31, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,279
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Mkuu mbona hata mimi nilikuwa najaribu kuisumbua akili yangu? Umeziona hizo alama za namna hii...??? Labda tuzidi kumwomba mleta mada atumegee zaidi:confused2::confused2::confused2:
   
 20. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #20
  Aug 31, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,418
  Likes Received: 347
  Trophy Points: 180
  Duh hii sredi chiboko kweli kweli
   
Loading...