Ni nani ampaye Slaa 'Mabomu'?

Ni nani ampaye Slaa 'Mabomu'?

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
77,979
Reaction score
165,441
Wilbrod Slaa ni mkali wa kufichua udhalimu na uchafu wa viongozi na wafanyabiashara mbalimbali. Je ni nani anayempa mabomu na vithibitisho hivyo, hadi wanaolipuliwa wanaogopa kumpeleka mahakamani?
 
Ana watu kwenye system wanampa nondo,tena unaweza kuta ni hao hao CCM
 
Kwa upande wangu mimi, wala sitaki kumjua, ila aendelee tu kumpatia manake looks like hatuna source nyingine ya kuzisikia!
 
Tukiwajua wanaompa nondo ili iweje...huoni watu wana weza kosa ajira zao au kuuwawa unafikilia hawa mafisadi yanapendwa kufatwa fatwa kumbuka ya kubenea.....
 
watu walioko serikalini waliochoka na ufisadi na udhalimu wa wa ccm, yaani mafisadi kwa ujumla
 
Itakuwa ni kule kule kwenye maofisi ya wakubwa ndo maana kila akitoka anakuwa na data kamili kiasi kwamba hata jamaa wakiahidi kumpeleka mahakamani wanaogopa asiwaripue zaidi!
 
Wilbrod Slaa ni mkali wa kufichua udhalimu na uchafu wa viongozi na wafanyabiashara mbalimbali. Je ni nani anayempa mabomu na vithibitisho hivyo, hadi wanaolipuliwa wanaogopa kumpeleka mahakamani?

Sidhani kamia kujua nani anampa itatusaidia chochote........cha muhumu ni ukweli wa hayo mabomu................ INAWEZEKANA HATA WEWE NI SEHEMU YA WATU WANAOMPA MABOMU HAYO.....we never know......
 
Si kila mtu ni mchafu, watu wasiopenda ufisadi ndio huyatoa ili angalau kukomesha mambo hayo. Hata usalama wa taifa wanahusika.
 
Wilbrod Slaa ni mkali wa kufichua udhalimu na uchafu wa viongozi na wafanyabiashara mbalimbali. Je ni nani anayempa mabomu na vithibitisho hivyo, hadi wanaolipuliwa wanaogopa kumpeleka mahakamani?

Na je ni nani aliyekupa ujasiri huu wa kuuliza swali lisilo na tija?
 
Wilbrod Slaa ni mkali wa kufichua udhalimu na uchafu wa viongozi na wafanyabiashara mbalimbali. Je ni nani anayempa mabomu na vithibitisho hivyo, hadi wanaolipuliwa wanaogopa kumpeleka mahakamani?

Wampao mabomu ni wazalendo na wasamaria wema wapenda maendeleo ya nchi yao. Hata hivyo wapinzani wake hawatakiwi kumhofia sana sababu safari hii mabomu hana kabisa, ana makombora tu!
 
Wilbrod Slaa ni mkali wa kufichua udhalimu na uchafu wa viongozi na wafanyabiashara mbalimbali. Je ni nani anayempa mabomu na vithibitisho hivyo, hadi wanaolipuliwa wanaogopa kumpeleka mahakamani?
Ni mimi. swali lingine?
 
Wilbrod Slaa ni mkali wa kufichua udhalimu na uchafu wa viongozi na wafanyabiashara mbalimbali. Je ni nani anayempa mabomu na vithibitisho hivyo, hadi wanaolipuliwa wanaogopa kumpeleka mahakamani?

Nadhani swali lako ungeliaddress hivi, KWA NINI ANAYEPEWA MABOMU NI SLAA TU NA NI KWA MALENGO YAPI? KAMA NI WABUNGE WA UPINZANI MBONA WAKO WENGI? KWA NINI AWE YEYE TU? AU NDO KUANDALIWA KWENYEWE HUKO KWA SABABU LABDA WAMEONA HANA SIFA? AU HATAUZIKA? I think lingesound good.
 
Dr. W. Slaa hajalipua bomi lolote jipya ambalo watanzania wa kawaida kama mimi na wewe hatukujua. Ninachomfagilia Dr. slaa ni ujasiri wa kusema kuwa hili limetendeka ndivyo SIVYO wakati sisi wengine tukishasikia tunajifanya hatujui. Issue za EPA, Richmond, Meremeta zilianza hapa JF kabla hata Slaa ahajazivurumusha. Hili la Meli za pembe kuwa ina mkono wa kada wa CCM kila mtu alikuwa analijua lakini hatukusema, Juzi Slaa kalilipua. Nachotaka kusema ni kuwa tukibaki kusema ni Slaa analipua mabomu na kuulizana nani anayempa tunampa kazi kubwa sana ya kuikomboa nchii hii maana tutakuwa kama tunajaribu kusema yeye pekee ndiye awezaye na sisi ni watazamaji tu. Nadhani swali lingekuwa ni lini nitalipua mabomu niliyonayo (ya level ya kijiji, kata, wilaya, mkoa, Taifa) kama Slaa?
 
Back
Top Bottom