Kikwete atoa mpya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete atoa mpya

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kigogo, Aug 31, 2010.

 1. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #1
  Aug 31, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 19,516
  Likes Received: 366
  Trophy Points: 180
  Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Jakaya Kikwete ametoa mpya na kali ya mwaka baada ya kuahidi kutoa babaj 400 nchi nzima kusaidia akina mama wajawazito mara wanapapatwa na uchungu na kuhitaji kuwahishwa kupata huduma hospitalini....

  Source:Tanzania Daima la leo

  Comment: Huyo ndo anautaka urais wa nchi hii na hayo ndo mawazo yake!!!!Najisikia aibu sana kuwa mtanzania na kuwa na kiongozi mwenye mawazo ya hivi
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Aug 31, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,320
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  Wakati ni huu! Tumia kura yako mazee
   
Loading...