Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hivi sasa ndiyo kwanza nimemaliza kusikiliza tarifa muhimu kwamba ile Tume ya Rais ya EPA ya kuchunguza ubadhirifu wa fedha za malipo ya akaunti ya madeni ya nje pale BoT imeeleza kuwa imefikia...
0 Reactions
89 Replies
11K Views
Lowassa apokewa kifalme Monduli BAADA YA KUJIUZULU… ::Watu 10,000 na magari 400 wampokea ::Akaribishwa kwa zulia jekundu Monduli ::Askofu Laizer...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
SERIKALI imekiri kupokea barua ya Umoja wa Waislamu wa Arusha (AMU) iliyoandikwa kwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha, na kuahidi kuwa italijadili kwa kina suala hilo. Umoja huo juzi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Na hii ndio hospitali yetu ya rufaa! Nilidhani sehemu nyeti kama hiyo umeme ukizimika tu basi majenereta yanaanza kazi mara moja, kumbe sivyo! Wafungue kesi dhidi ya Muhimbili Posted...
0 Reactions
60 Replies
8K Views
Kuna tetesi kuwa JK amemteua Ditopile kuwa Mwenyekiti mpya wa bodi ya korosho.
0 Reactions
24 Replies
5K Views
TAFAKURI JADIDI Kama vile tumelogwa au kulaaniwa Johnson Mbwambo MSHINDI wa Tuzo ya Nobel katika tiba, James Watson, mwishoni mwa mwaka jana alirushiwa makombora ya shutuma...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
GARI la Naibu Waziri wa Usalama wa Raia MOHAMED ABOUD Mohamed, lenye alama, NW-UR,aina ya GX, limeibiwa na dereva wake aitwaye Tumaini Mbaga, ametoweka tokea Jumamosi iliyopita.
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Well, well,well sasa twaanza kuona ni jinsi gani misheni zilivyoanza andaliwa na hawa jamaa wawili. NdiyoMorani kaachia ngazi, lakini hilo halitoshi kutamatisha uhujumu uliofanyika. Paper trail...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
By Mkinga Mkinga THE CITIZEN Mr Jeetu Patel, one of the alleged key players in the Central Bank's External Payments Arrears (EPA) account scandal that cost the country Sh133 billion, is back in...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Na Salehe Mohamed Tanzania Daima~Sauti ya Watu SERIKALI itaweka hadharani kiwango cha fedha kilichorudishwa na kampuni zilizochota fedha katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT), kupitia Akaunti ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
...mgogoro umekwisha, sasa rudi nyumbani ukajibu tuhuma nzito dhidi yako. Wabongo wana hamu kuu kusikia kulikoni?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tunashukuru kwa hata hicho kiasi kilichorudishwa
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sasa sijui wangapi mliwahi kusikia juu ya maadili ya matangazo ya biashara kwenye vyombo vya habari nchini. Lakini kwa muda sasa kumekuwa na mashauriano ya wadau wa eneo hili nyeti na sasa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
WanaJF, Tuonyeshe ukomavu kidogo, mbona kila kitu kinacholetwa kwenye Jamvi kinaonekana kama breaking news!!! Wajameni... msiharibu kijiwe wandugu!!! chonde chonde, vihabari vingine pia vya...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Mbunge aswekwa ndani Waandishi Wetu Daily News; Tuesday,February 26, 2008 @20:01 MBUNGE wa Magu Mjini ambaye aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Fedha, Festus Limbu, jana alishikiliwa kwa saa...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Posted Date::2/28/2008 IMF yataka mafisadi wabanwe *Yasema walioiba BoT washughulikiwe haraka * Yaibua machungu ya umeme kwa Watanzania * Wahoji athari za gharama za umeme nchini *...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wapendwa, Ni siku mpya, siku ya furaha. Hakuna haja ya kuwa na majonzi wala kulaumiana kwa yalioshindwa kufanyika kuzuia sekeseke. Tumejifunza kutokana na makosa. Naamini umoja na mshikamano...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu heshima mbele. Admin sijui hii utaiweka wapi,lakini ninapata maswali mengi kuzidi majibu kutokana na report ya kamati teule ya bunge ambayo pamoja na hoja na mapendekezo yake yaliyojiri...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hii ni ushindi kwa wana JF wote na wote wapendao nchi ya tanzania HABARI-WABUNGE WAMGOMEA FISADI KARAMAGI ---Wakataa miswada mipya kujadiliwa,mpaka ripoti ya RICHMOND ----Wasema ""tumechoka...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari Leo MKURUGENZI wa Kituo cha Uwekezaji (TIC) Emanuel Ole Naiko, ameituhumu Kamati Teule ya Bunge kwa kumhusisha na kashfa ya Richmond huku akisema anaamini ilifanya hivyo kwa nia ya...
0 Reactions
52 Replies
8K Views
Back
Top Bottom