Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Dr Kikwete,Dr Getrude Rwakatare,Dr Mzindakaya,Dr Salim etc. Mandela na Tutu wana udocta wa heshima toka vyuo vikuu mbalimbali,lakini walikataa kutumia DR mbele ya majina yao. Sidhani...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Is democracy, political competition under threat in Tanzania? Tuesday, 31 August 2010 15:56 Is democracy, political competition under threat in Tanzania? BY BERNARD JAMES AND BERNARD...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Baada ya msajili wa vyama vya siasa kupokea malalamiko ya ya CHADEMA mgombea urais wa CCM Jakaya Kikwete, amekatisha kampeni zake mkoani Mbeya na kurejea Dar. Kabla alipangiwa kuendelea na...
0 Reactions
50 Replies
6K Views
  • Closed
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilbroad Slaa bado anateswa ‘ishu’ ya ndoa na sasa kila anapokwenda kujieleza, analazimika kutoa ufafanuzi kuhusu mke wake...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Haya wale waliokuwa wanataka T-Shirt za Mbayuwayu nimejaribu kudesign hizi hapa kwa rangi mbalimbali, Leteni mchango wenu wa mawazo cha kuongeza ama kupunguza au kama iko sawa. Kama mtataka iwe...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Wakuu, nimekuwa nikifuatilia habari za mikutano na misafara ya mgombea urais kwa tiketi ya CUF, Mh Prof Lipumba, sasa ambacho nimekiona kwa siku mbili hizi mfululizo zilizopita (jana na juzi) ni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimeipata hii...unazunguka kwenye wanabidii net huko.....Kuna mwenye uhakika?? Mhe Zitto Kabwe ahusishwa na Kuhongwa kwa Mgombea wa CHADEMA Musoma Vijijini Zitto tunaomba maelezo yako kuhusu...
0 Reactions
46 Replies
6K Views
Leo JK Kikwete alikuwa wilaya ya Kyela kumalizia kampeni zake mkoani Mbeya. Jana Ridhiwani alitangulia ili kuweka mazingira sawa na alipewa sharti la kuhakikisha mkuu wa mkoa asihudhurie huo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wednesday Sept 01, 2010 A CCM member, Mr Ipyana Seme, displays CHADEMA membership cards surrendered by people who defected to the ruling party , during a campaign rally at Mbalizi in Mbeya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimatumaini yangu wote wazima kwamba nyote mmesikia kwamba chama cha maendeleo na demokrasia CHADEMA kimemwekea pingamizi mombea wa urais kupitia chama cha mapinduzi CCM Mh;Rais wa Tanzania Jakaya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nilipofunga kompyuta yangu asubuhi leo ili nishughulikie mambo binafsi yanayoniletea kipato, nilikuwa nimechangia kwa ufupi topic kwamba "Watanzania si Mabwege" any more. Mhe. Kinana alikuwa...
0 Reactions
60 Replies
6K Views
Jamani naomba kuuliza, katika katiba yetu Tanzania ni viongozi wapi wanastahili kusindikizwa na vimurimuri (Motorcade) . Katika siku za hivi karibuni ninaona kama kuna magari mengi sana yakiwemo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nilikuwepo kwenye mkutano wa cuf bkb.maandamano kwenda uhuru yalikuwa na pikipiki 8 na magari 4.mkutano ulikuwa na watu kama 50 tu.kifupi ccm b wamefulia.ngoja aibu ya mwaka watakosa mbunge hata...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Asilimia 99.95 ya wakazi wa Zanzibar wanasubiri siku ya kuapishwa kwa Maalim Seif Sharif Hamad kuwa Raisi kiongozi wa Zanzibar mpya(New Zanzibar).Habari za ndani zinasema kuwa uhakika wa ushindi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna mambo yametokea hapa JF katika wiki hizi chache ambayo yamewafanya watawala washtuke kidogo. Ndio wamekuwa wakishtushwa na yanayoendelea lakini haya makubwa matatu yamefanya kutoa ushauri wa...
0 Reactions
59 Replies
8K Views
WAKATI tukielekea katika Mkutano wa 17 wa Bunge unaoanza keshokutwa Jumenne Oktoba 26, 2009, tujikumbushe yaliyojiri Mkutano wa Kumi na Saba miezi michache iloyopita haswa Agosti mosi, 2009 siku...
0 Reactions
86 Replies
10K Views
Enzi za CCM ya Nyerere Lowasa, Mramba na wenzao wangetimuliwaSalim Said na Hashim Gulana CHAMA Cha Mapinduzi kingekuwa na nidhamu yake ya zamani watuhumiwa wote wa ufisadi pamoja na wabunge...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wiki moja kabla ya kifo cha Wangwe habari ziliingia kwa njia ya sms zikiwa na ujumbe uliokuwa unamaudhui yafuatayo "tumempoteza mpambanaji mwenzetu Zitto"! Ujumbe huo ulikuwa ni kutaarifu juu ya...
0 Reactions
202 Replies
25K Views
Foreign firm operates illegally for ten years By Costantine Sebastian THE CITIZEN A Norwegian engineering consultancy company has done business in the country illegally for nearly a...
0 Reactions
102 Replies
15K Views
Back
Top Bottom