Elections 2010 Motorcade za viongozi wa Tanzania, ni akina nani wanastahili?

Ntemi Kazwile

JF-Expert Member
May 14, 2010
2,182
307
Jamani naomba kuuliza, katika katiba yetu Tanzania ni viongozi wapi wanastahili kusindikizwa na vimurimuri (Motorcade) . Katika siku za hivi karibuni ninaona kama kuna magari mengi sana yakiwemo ya Mke wa Rais Mama Salma Kikwetey yanasindikizwa na misafara ambayo inatumia kodi za Watanzania maskini na nahisi siyo misafara yote hii inazingatia katiba yetu.
Kama kweli wasiwasi wangu ni kweli je nina haki gani ya kikatiba?
 
BAHATI NZURI HUYO ULIYEMTAJA ANASTAHILI....kweli motorcade zimezidi....mbowe naye anataka motorcade,slaa anataka, harusi nazo zinataka motorcade kwanza harusi ndo zinasababisha foleni sana
 
Geordavie naye natumia vimweku mweku na misarafara ya msururu wa magari.
Walinzi nao wanatusumbua na vimweku mweku vya magari yao
 
BAHATI NZURI HUYO ULIYEMTAJA ANASTAHILI....kweli motorcade zimezidi....mbowe naye anataka motorcade,slaa anataka, harusi nazo zinataka motorcade kwanza harusi ndo zinasababisha foleni sana

Mzee unadhalilisha hiyo picha ya Nyerere, tafuta avator nyingine inayofanana na wewe
 
Back
Top Bottom