Hidden Passion

Hidden Passion

Martinez

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2010
Posts
525
Reaction score
161
:help: Wakuu, lets refresh our minds after considering deeply issues concerning our nation. Naomba msaada wenu kama kuna anayeweza kusimulia japo kwa ufupi tamthiliya ya Hidden Passion. Nasikia ni nzuri sana nataka nianze kuifuatilia. Thanx in Advance!
 
...................Du!!!!!:becky::becky::becky:
 
Hapa sio jukwaa la tamthilia peleka habari mchanganyiko! We vipi bana? Hapa ni kazi tu kupumzika kuna majukwaa yake! Huko hoja sio hoja sana unaweza kuandika chochote watu wasikukabe sana!
 
peleka jukwaa lake nitakusimulia ni nzuri sana.....................
 
Hii ingefaa ipelekwe nyumbani kwake, hapa sidhani kama utalipata ulitafutalo. Nenda hoja mbalimbali!
 
Wakuu mko serious na kazi! ...thats GOOD! nitafuata ushauri.
 
Back
Top Bottom