Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mimi sikifagirii chama hiki cha CCM... lakini situation inaonesha kimeshashinda, kwasababu Zenj wamesha vunjwa mbavu kwa kumsimamisha Dr. Shein, na kumleta huku bilali ni saikolojia kubwa sana...
0 Reactions
73 Replies
7K Views
Nimeona watu bado hawajaweka ilani ya Chadema, hasa baada ya MWJJ kuipigia debe kabla ya kutoka! Sijui topic iliishia wapi! But anyway...hii hapa!feel free kuipitia!
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Mgombea kiti ca uris kwa ticketi ya CCM JK siku ya ufunguzi wa kampeni pale jangwani baada ya kupata nafuu kwa kile kilichomtokea alirudi jukwaani alizungumza haya tena kwa kujiamini. Nanukulu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Shirikisho la michezo ya Idara za serikali, wizara na ofisi za wakuu wa mikoa(SHIMIWI) limetangaza kusitishwa kwa michezo hiyo iliyokuwa ifanyike Tanga 17th September -2nd October. Wadadisi wa...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Leo katika kipindi chake cha mapitio ya magazeti cha 06.50am asubuhi, kituo cha television cha ITV kinachomilikiwa na IPP Media kilifanya tukio ambalo sikulitegemea kwa kwa kituo hicho...
0 Reactions
150 Replies
13K Views
Wakubwa, Hi ni kauli inazungumzwa sana hasa na MAKADA WA CHAMA CHA MAPINDUZI mitaani na kauli hii hii hii ilizungumzwa pia na mtoto wa hayati baba wa taifa kwamba ni kweli ukiweka pembeni...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
KATIBA mpya Tume huru ya UCHAGUZI Ofisi huru ya MSAJILI wa vyama TAKUKURU huru Kuiondoa MAHAKAMA kutoka c idara ya mahakama na kuwa mhimili kamili ambapo CJ anakuwa na status sawa na speaker wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hapa kuna mambo jamani hivi mtu kweli,tangu aingie madarakani hajawahi hata mara moja kutembelea baadhi ya sekta muhimu zilizopo ndani ya kata yake mpaka anaondoka madarakani halafu leo anagombea...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Helikopta ya Slaa yapata tabu kutua Mpwapwa Thursday, 02 September 2010 Salim Said, Mpwapwa HELIKOPTA ya mgombea urais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chadema, Dk...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za TBC zafanyiwa mageuzi makubwa baada ya malalamiko makubwa toka kwa wadau mbalimbali kama vyama vya siasa, jukwaa la wanahabari, wananchi na mitandao kama JF. Ni matumaini hali hii ya...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
1.Uchumi au kushuka shilingi ya Tanzania kama iko kwenye victoria falls Utaukuzaje uchumi wa Tanzania na shilingi ya Tanzania kuwa yenye thamani? 2. Elimu ya Tanzania Utafanya mbinu gani...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Gazeti la tz daima leo lina taarifa kuwa wafanyakazi wawili wa mgodi wa Buzwagi wametimuliwa kazi kwa kujihusisha na siasa na kuishabikia CHADEMA. Inaonekana hawa jamaa wanajua kabisa kuwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimeona mdau kaja na post inasema serikali imefanikiwa kwenye sekta ya miundombinu kwa kutaja kwamba zimejengwa barabara mpya kadhaa...hivi ni barabara gani mpya ambayo unaifahamu imejengwa karibu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nina 100,000/= kwa ajili ya kampeni nataka kumpa Rais wetu mtarajiwa, dr. W. Slaa kwa ajili ya kampeni. Nilijaribu ku PM kwake lakini hadi sasa hakuna jibu huenda yupo busy na mambo ya kampeni ...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Rais Mstaafu Benjamin Willium Mkapa MGOMBEA mwenza wa nafasi ya urais kupitia CCM, Dk Mohamed Gharib Bilal amewaambia wananchi wa Masasi kuwa, rais mstaafu wa awamu ya tatu ambaye ni mkazi wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Dobo, Tafuteni kwanza taarifa za kueleweka na uhakika, wakulima sasa hivi wanalipwa shilingi 7,500/= kwa kilo moja ya kahawa na siyo 700/=kama anavyodai DUNI. Source: Coffee Board & Coffee...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kiongozi wa Kampeni za CHADEMA Prof. Baregu amekanusha madai yaliyotolewa na CCM kupitia Meneja wa Kampeni za CCM Kinana na Katibu Mkuu wa CCM Makamba kuwa CHADEMA wametumia lugha ya matusi katika...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
kuna habari kuwa TBC wameweka hadharani makubaliano waliyoingia na vyama vya siasa ya kuzingatiwa kila wanaporusha matangazo ya mikutano ya hewani. binafsi sijafanikiwa kuyaona,kama kuna mwenye...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Tutageuza majengo yote ya Serikali Dodoma kuwa vyuo vikuu na vyuo vya ufundi kwa kuendelea na azma yetu ya kuachilia mbali mpango wa kuhamishia makao makuu kwenda Dodoma. Dodoma itakuwa ni jiji...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwamba ufisadi na ubadhirifu katika serikali ya Kikwete unagharimu asilimia 25 ya pato la taifa. Na kwamba Kikwete anahusika moja kwa moja na: 1. IPTL 2. Bulyanhulu 3. Kagoda 4. EPA 5. Deep...
0 Reactions
46 Replies
8K Views
Back
Top Bottom