Wapinzani wajifunze siasa la sivo... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapinzani wajifunze siasa la sivo...

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mbunge wa CCM, Aug 30, 2010.

 1. M

  Mbunge wa CCM JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwenye jimbo langu, vyama vingine pia vina wagombea, lakini baada ya kikao cha NEC nilisafiri kidogo nje ya nchi nimerudi sasa na kukuta wansambaza habari kuwa nahojiwa na TAKUKURU!! uongo kabisa

  Ni kweli niliingiza nchini vifaa vya kampeni kama pikipiki na magari kadhaa chakavu na hili suala nilisha-clear na TAKUKURU wakati wa kura za maoni.

  Juzijuzi nilitoa vifaa vya michezo kwa vijana jimboni baada ya kuombwa kwa maandishi na nikasaida, nayo nimeisha-clear na TAKUKURU, kuna mambo mengi tu nimefanya, ila linalonikera ni hili suala la vifaa vilivyo njiani, vingine ni vya chama, navyo wanasemasema kuhusu TAKUKURU, TAKUKURU wenyewe walishachoka na uzushi.

  Nawaambia, kuwa Jumatano vinatoka bandarini na wiki ijayo nasambaza jimbo zima na wajiandae kwa kampeni ya nguvu

  Anayetaka kujua kuwa upinzani si kufanya ujinga, ajaribu kuhusisha haya mamabo na rushwa, nitamfunza adabu na atakapopata akili wenzie tulishakuwa wabunge...
   
 2. M

  Mbunge wa CCM JF-Expert Member

  #2
  Aug 31, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  na nyie mnaonipigia simu ikos iku nitawafunza adabu... shauri yenu
   
 3. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #3
  Aug 31, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Hivi ninyi wagombea wa CCM mnaweza kutuambia kwa ukweli hizi hela za kuingiza vifaa mmezipata wapi? Ni kutoka kwa mishahara yenu?
  Nasikia madiwani wamepewa shilingi milioni tano kila mmoja. Zimetoka wapi?
   
 4. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #4
  Aug 31, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  mgombea ubunge wa jimbo gani?
   
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  Aug 31, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Jamaa anachimba biti kwenye intaneti....lol
   
 6. M

  Mutu JF-Expert Member

  #6
  Aug 31, 2010
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  huyu anazuga hapa.poteza nia
   
 7. M

  Mbunge wa CCM JF-Expert Member

  #7
  Aug 31, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndugu yangu, kila kitu ni maandalizi, tumejiandaa kwa muda mrefu, tunafanya savings na tunakusanya nguvu za wafadhili na mengineyo. sasa usitulinganishe na wanaodandia siasa baada ya kuona baadhi wanajaribu na kupata, wengine hatujaribu, tunafanya tena kwa kujiamini, ndio maana tunashinda siku zote na kwa kishindo kikubwa

  angalia sasa, kila kitu takukuru, takukuru, hawajui kuwa takukuru wanazingatia sheria hawazingatii tetesi.

  ushindi ni lazima
  KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
   
 8. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #8
  Aug 31, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Mkuu, wewe unayegombea kata ipi?
   
 9. B

  Boramaisha JF-Expert Member

  #9
  Aug 31, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 820
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wizi mtupu! Hamna hata aibu jamani!
   
 10. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #10
  Aug 31, 2010
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Huu mkwara nimeupenda! Ha ha ha
   
 11. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #11
  Aug 31, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Acha basi na wewe kuwa unatubip! Ebo mbunge mtarajiwa mzima unabeep na kuomba pesa za mafuta?
   
 12. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #12
  Aug 31, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Aaah kumbe wako hapa JF?
   
 13. M

  Malunde JF-Expert Member

  #13
  Aug 31, 2010
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 311
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Sijakuelewa vizuri Mgombea Ubunge nia yako hasa ya kuandika kwenye JF ni nini?

  1. Una uhakika gani kuwa wapinzani kwenye jimbo lako ni wana JF hata ukapiga mkwara humu?
  2. Nina wasiwasi kuwa wewe si mgombea una lako jambo humu jamvini
  3. Kama wewe ni mgombea wa kwelikweli tafuta the right audience kwenye jimbo.
   
 14. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #14
  Aug 31, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Kweli best huoni mbali, mwenyewe unajua wazi kuwa wapiga kura zako wengi internet ni msamiati na ukuja kuwachimba mkwala hapa jamvini? Si uwatumie vipeperushi wasikusumbue kwa simu na kubwa zaidi kama umezoea kuwapa chochote wakikupigia simu kwanini wasikutafute?
   
 15. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #15
  Aug 31, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  jamani mi nilivyomuelewa huyu jamaa ni kuwa hao anaowachimba mkwara wana access na JF, na tena huyu jamaa sio mara ya kwanza kupost humu jamvini mamabo yake ya ubunge na namna alivyojiandaa, nahisi anagombea jimbo moja la mjini amabako watu wana mwamko na internet.... ni mtazamo tu
   
 16. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #16
  Aug 31, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  kigumu chama cha mapinduzi kwa sababu ya kutumia umaskini wetu kama unavyokiri. Ebu ona aibu sema mawili tu umetufanyia nini hadi sasa kwa jinsi maisha yanavyokuwa magumu kila siku. Pili kweli umefanya maandalizi hayo ili urudisheje gharama zako? Kwa kweli ndugu mgombea unaleta kichefu chefu kwenye serious discussion.
   
 17. m

  mwita ke mwita JF-Expert Member

  #17
  Sep 1, 2010
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 5,490
  Likes Received: 1,219
  Trophy Points: 280
  duh we mgombea ni fisadi kweli kweli inabidi ufunguliwe mashtaka
   
Loading...