Hawa new habari corporation!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hawa new habari corporation!!!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Pokola, Aug 31, 2010.

 1. P

  Pokola JF-Expert Member

  #1
  Aug 31, 2010
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 717
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Jamani kuna kitu kimoja kinakera sana katika mambo haya ya kampeni- kuona vyombo vya habari vikiwa biased bila hata kuficha. Channel Ten nawauliza swali, je mmeamua kuwa makada wa CCM na kuacha kuwapa habari mbalimbali watazamaji wenu bila upendeleo?

  Je, mnaangalia mbali? Hamjui ya kuwa mtapoteza watazamaji wengi sana kwa kuwa kila habari yenu inatabirika hata kabla hamjaitoa??? Nawachukia sana, na magazeti yenu yote. SITAANGALIA TENA HABARI ZENU.
   
 2. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #2
  Aug 31, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mkuu nimeipenda sana signature yako
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Aug 31, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Mtu anapoelekea kufa hata ukimkataza kitu harudi nyuma!

  Waache vibaraka hawa, wanakimbilia kaburi!
   
 4. M

  MzeePunch JF-Expert Member

  #4
  Aug 31, 2010
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,412
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hiyo ni TV station ya mafisadi. Waliinunua kwa malengo haya ambayo sasa mnayashuhudia. Hakuna professionalism hapo. Naamini baadhi ya journalists hapo ni wazalendo wa kweli na wanachukia ushenzi n wizi wa CCM lakini hawana la kufanya. Mafisadi ni lazima wahakikishe kuwa serikali dhaifu ya CCM inaendelea kuwepo madarakani ili iendelee kuwalea wakati wanaliibia taifa letu. Maskini watanzania!
   
 5. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #5
  Aug 31, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,745
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  jangili rostam aziz, na wenzako hakikisheni mna kimbia nchi kabla ya october 31 au la keko hakutawatosha
   
 6. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #6
  Aug 31, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mzee,
  haya uliyonena ni maneno mazito ambayo wengi wetu ni vigumu kuyaelewa.
  Lakini nina matumaini makubwa kwamba kipindi hiki wengi tutayaelewa.
   
 7. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #7
  Aug 31, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Hata waende wapi tutawakamata, tuwarudisha hapa na watakiona cha mtema kuni!! Nyambafu zao!! lol
   
 8. Njilembera

  Njilembera JF-Expert Member

  #8
  Aug 31, 2010
  Joined: May 10, 2008
  Messages: 1,425
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 160
  Na wewe umechanganyikiwa nini? Huwezi kutofautisha issue na mtu, kule Mwanahalisi agenda imekuwa ni ufisadi, na ukizungumzia ufisadi inawagusa hao uliowataja, lakini ingekuwa ni Slaa naye kawa fisadi angetajwa hivyo hivyo, maana hoja ni ufisadi. Tofauti na hawa wengine, hata pale palipo na shida bado wanasema ah haya sio kweli. Nadhani mfano wa AN Nur ulioutoa sio mzuri,hawa ni tofauti, si waislamu wenyewe wanawaita hao ni wa siasa kali katika dini, yaani kwao dini ni kama bangi inavyomharibu mtu, ni kama wale walokole wa kikristo nao hivyo hivyo, hao tumewapoteza wenzetu, tusijilinganishe nao. Walinganishe na walevi wa bangi, maana hawawezi wakaona chochote zaidi wanachoamini.
   
Loading...