Kagoda, Meremeta, Deep Green, Buzwagi, Bandari, nk kutumika dhidi ya Kikwete | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kagoda, Meremeta, Deep Green, Buzwagi, Bandari, nk kutumika dhidi ya Kikwete

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mwafrika, Aug 23, 2010.

 1. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #1
  Aug 23, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Habari zinakuja kwenye wire ni kuwa, mgawanyiko ndani ya ccm unaendelea kufutuka na sasa ngoma ndo mwanzo inaanza. Kwa waliodhani kuwa zile kashfa zote za kumweka Kikwete ikulu mwaka 2005 zilikufa baada ya watuhumiwa wa EPA kufikishwa mahakamani, wajiandae kwa mabomu yanayotegemewa kurushwa ndani ya wiki tatu zijazo.

  Kumbuka kuwa,

  Kikwete "ameshughulikia" EPA tu so far .....

  Yaliyoachwa:

  Kagoda, Meremeta, Deep Green Finance, 10% ya Buzwagi, safari zake za nje, etc bado hata hayajaguswa kwa vile yalimnufaisha (.....weka jina hapa...) moja kwa moja.

  Kuna kigogo mmoja aliyefanyiwa umafia na Rostam Azizi kwenye kampeni zilizokwisha ameapa kumwaga mboga.

  Watch this space.... na kama kawaida ya JF ...we dare to talk openly
   
 2. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Yangu mijicho, lakini issue sio kuibua hizo kero, kama ushaidi upooo wekeni hadharani sio msubiri kampeni ili upate kura yangu? nitakua siwasoni kabisaaaaaa cause to me that is the dirty play why now?
   
 3. 911

  911 Platinum Member

  #3
  Aug 23, 2010
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 761
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 60
  Mkuu Mwafrika,hiyo nadhani itafanya kazi kwa sehemu tu ya Tanzania.Huko 'kwingine' ambako nimebahatika kufika,wananchi hata tu neno ufisadi hawalijui/hawalielewi.Hivyo basi wakati huu ukianza kuwajulisha hzo 'new terms' za kagoda sijui dipu grini etc etc...Watakushangaa tu!Wahusika wa baadhi ya hzo kashfa waliporudi majimboni kwao walipokewa kama mashujaa let alone ambao wameshinda kwa kishindo ktk primaries.Kwa mtazamo wangu ni kuwa Watanzania (wengi?) wanahisi kuwa raslimali zilizopo hapa nchini ni kwa ajili ya wachache tu(watawala).Hivyo wanashindwa kulink kashfa hizi na maisha yao ya kila siku(huduma za kijamii wazipatazo).Mkuu we have a unique kind of voters,hasa ukizingatia kuwa watanzania wanapenda 'amani na utulivu' na si wepesi wa kukasirika.
   
 4. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #4
  Sep 1, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  r u serious?
   
Loading...