Mabere marando kidole nyoosha lakini.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabere marando kidole nyoosha lakini....

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Waridi, Sep 9, 2010.

 1. Waridi

  Waridi JF-Expert Member

  #1
  Sep 9, 2010
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,027
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Mhashimiwa Mabere Nyaucho Marando!!
  Unapinga mafisadi eh!
  Toa kwanza boriti mkuu.

  Ulipokuwa kiongozi wa NCCR-Mageuzi, enzi Mhe. George Liundi akiwa msajiri wa vyama aligundua kwamba chama chako kilikuwa kikipewa ruzuku pungufu kutokana na makosa ya kimahesabu.Akaamua kufidia upungufu huo kwa kukilipa chama taratibu kwa njia ya cheque za kila mwezi.
  Wewe ulijua hili na hukufikisha taarifa katika chama, ukatumia nafasi yako na siri hiyo kutafuna mamilioni hayo ya chama kimya kimya.Wewe ni mwizi wa kawaida
  Tubu basi na urejeshe fedha hizo, ili mikono na midomo yako ipate usafi wa kukuruhusu uwaseme mafisadi wenzako
   
 2. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #2
  Sep 9, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  kwanini mpaka leo hajafikishwa mahakamani kwa kula hela ya Umma.
   
 3. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #3
  Sep 9, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Waulize NCCR walimalizaje hilo suala. Kitu ambacho sitakuelewa ni kwamba labda yaliyosemwa na Marando yasingesemwa kwa wakati huu tunapotaka kuchagua viongozi au wahusika hawatakiwa kuanikwa kwa kukosa uadilifu. Aliowataja ni mafisadi wanaogombea wataje mafisadi wa CHADEMA wanaogombea jamvini tuchangie. Halafu wallotajwa wote hawajakanusha vipi wewe?
   
 4. Waridi

  Waridi JF-Expert Member

  #4
  Sep 9, 2010
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,027
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Ada ya JF kufukua uozo, suala la kwamba yeye agombei halihalalishi wizi. Alichokwapua ni mali ya umma. NA kama NCCR nao walilimaliza 'kinyumbani' bado nao ni ufisadi ndani ya ufisadi
   
 5. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #5
  Sep 9, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  SASA NANI ALIKUA NA JUKUMU LA KUMPELEKA MAHAKAMANI ?
  Waambie ccm wenzako kwanini serikali wanayoiongoza iliogopa kumpeleka mahakamani.....
   
 6. Njilembera

  Njilembera JF-Expert Member

  #6
  Sep 9, 2010
  Joined: May 10, 2008
  Messages: 1,425
  Likes Received: 156
  Trophy Points: 160
  Kuna watu wengine hawana la kufanya kabisa. Kazi ni kuibua vitu vya ajabu kwa wale wanaoijitokeza kukemea jamii. Uungwana huu. Ndiyo, kila mmoja anapaswa kusikilizwa, lakini jamani, is this really an issue to take up with Mabere! If really there was any of those frauds with NCCR more than 10 years, why hasn't anyone raise it!? Why witch-hunting now. Huwezi hata kuficha msimamo wako! Ningekuwa ni mods ningekufuzia mbali!
   
 7. S

  Safre JF-Expert Member

  #7
  Sep 9, 2010
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 240
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kaz kwel siasa za tz ni mchezo mshafu kwel tumwombe mungu tutafanikiwa.Vp sasa angekuwa anagombea urais yange kuzwa hayo
   
Loading...