Huyu ndiye real JK! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huyu ndiye real JK!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by payuka, Sep 9, 2010.

 1. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #1
  Sep 9, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Sunday, 5 September 2010
  Slaa anachumbia mtalaka na huyu wa Kikwete ni nini?

  clip_image001.jpg

  Bila shaka watanzania wengi wanajua kuwa Rais wao aliyemaliza muda wake Jakaya Kikwete kuanzia alivyokuwaMakongo Sekondari, Chuo Kikuu cha Dar es salaam,Sinza Kijiweni hadi nje ya nchi.

  Ingawa CCM wanaona kama wamegundua silaha ya nyuklia ya kummaliza Dk Wilibrod Slaa kwa sababu aliachana na mama aliyezaa naye, jambo ambalo hafichi, wajue mtu wao, katika hili la ndoa, hana salama.
  Tutaanza kuwaletea nyumba zake ndogo na baadaye tutaleta hata vyangudoa wa mitaani ambao amewahi kuparamia.

  Tukimaliza hili, tutakuja na mgogoro wa kuanguka ambao ni ushahidi tosha kuwa afya yake ni ugogoro mtupu ingawa yeye na waramba viatu wake wanaficha.

  Tuanze na hawara yake Kikwete anayejiweka weka kwenye udhamini wa mambo fulani fulani huku akimuigiza Salma Kikwete kumpigia kampeni mtu wake.

  Hata Salma hatanusurika. Waliofundisha naye wako na wana data zake zote hata na alivyokutana na JK kwenye mazingira ya kutia kila shaka. Hapa bado hatujaenda kwao umakondeni na kuja na data nyingine nyingi tu. Hapa bado hatujagusia vimada waliojazwa kwenye ukuu wa wilaya na sehemu nyingine nyeti serikalini. Hapa bado hatujakuletea aliozaa nao na wanaharamu wake. Hapa bado hatujavinjari kila kona inayojulikana. Na CCM wajue. Tunapata data zake sawa na tulivyopata za EPA-wanaomjua wengi wako tayari kujitolea kuanika uchafu wake.
  Hapa hatujagusa biashara zake na mambo mengine machafu kuliko hata hayo.
  Inzi ana hekima moja kuu. Anasema. Ukijua huu naujua ule.

  Posted by NN Mhango at 13:49[​IMG]
   
 2. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #2
  Sep 9, 2010
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Haya ndio mambo ya mtandao/blogs picha inaweza kuwa hata ya kuzusha ili tu kumpakazia mtu au Rais . Chadema wanalipiza kisasi kwa kutumia picha za kubuni wakati Josephine alionyeshwa hadharani pale Jangwani. Kikwete anasakamwa kwa nini wakati mlalamikaji katika shauri la Dk.Slaa ni Aminiel Mahimbo?
   
 3. Kipepeo

  Kipepeo Senior Member

  #3
  Sep 9, 2010
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 186
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tangu ilipoibuka kashfa ya Dk.Slaa wanaChadema wanatapatapa kumsafisha Slaa kwa kivuli cha mtindo wa kuzusha yule na yule ni hawana wa Rais. Hii haiwezi kusaidia kumsafisha. Watanzania wana hamu ya kujua Dk. Slaa amezini au hakuzini.
   
 4. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #4
  Sep 9, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,420
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Wewe Mwanajamii a.k.a Mwanaufisadi, Mahimbo anatumika tu. CCM ni wachafu sana hata wasingestahili kuleta mchezo wa kuchafuanas; maana wao huna haja ya kuwachafua ila ni kuwa mulika tochi tu watu waone uchafu ulivyokolea.
   
 5. Kipepeo

  Kipepeo Senior Member

  #5
  Sep 9, 2010
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 186
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwanajamii,

  Na mimi nashangaa, Slaa ametuthibitishia hadharani kupitia Radia na televisheini kwamba Josephine ni mkewe, ni nani wa kumlaumu kama sio yeye mwenyewe aliyechukua mke wa mtu. Kwa kiasi kikubwa hatua hii inatofautiana na Rais ambaye hajasema popote hivyo haya yanayojitokeza ni mbinu tu za kumsafisha Dk Slaa na kadhai hiyo. Dk Slaa amekuwa msafi kwa muda mrefu lakini wafuasi wake wasipokuwa makini kujibu tuhuma na badala yake kuelekeza mashambulizi kwa Jk wanajimaliza kisiasa. Dawa ya muda mrefu itakayomponya Slaa ni kujibu tuhuma za Bw. Mahimbo. Hii inayofanyika ni chanjo tu ambayo haina manufaa pale ugonjwa ukishaingia mwilini.
   
 6. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #6
  Sep 9, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Jamaa keshaenda mahakamani na kuanzia sasa wakati wowote ule Slaa ataitwa mahakamani nasikia ameshapelekewa mualiko ,hayo makelele yenu ni makelele ya mlango ,hivi mlianza leo au jana kulipuwa hayo mnayoyaita mabomu na mmefikia wapi ,zaidi ya kubebembelzwa kama watoto wadogo aafu mnakaa kimya na kutulia.
  Hivi ni lini Chadema iliattack uongozi wa CCM ukilinganisha na CUF ambayo imewahi kuwaita viongozi waliopo ndani ya utawala kwa majina ya kudhalilisha ,CUF imewahi kumwita kiongozi Mkuu wa CCM mpumbavu ,mjinga na zaidi kusema CCM ni wapumbavu wakubwa ,hili halijawahi kusikika ndani ya Chadema ,hizo ni kauli ya Chama chochote kinachojiamini ambacho viongozi wake wapo tayari kwa lolote lile.Utaona kama ni matusi lakini sio ni kujiamini kwa viongozi ,viongozi wanaojiamini hufikia hatua ambayo wanaweza kuwachamba viongozi walioko madarakani kisiasa na hakuna atakaechukuliwa sheria.

  Chadema siasa hamziwezi ,kulipua mabomu sio siasa bali ni kujihangaisha na mwisho wa kuhangaika hakuna mnalolipata ,kama tuonavyo.
   
 7. Kipepeo

  Kipepeo Senior Member

  #7
  Sep 9, 2010
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 186
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Josephine kapeleka wapi watoto aliozaa na Mahimbo? Hatuwezi kujua pengine sio watoto wa Mahimbo mpaka DNA itoe majibu. Kama mama yuko salama hadi tukaonyeshwa hadharani ni vema tukajua pia hali ya watoto na wanatunzwa na nani. Pia warudishwe kwa baba yao badala ya kukaa na baba wa kambo, Dk. Slaa. Ni haki ya Mahimbo kwa kuwa ndio baba wa kibailogia japo hatuna uhakika kwa hilo hadi hivi sasa.
   
 8. Kipepeo

  Kipepeo Senior Member

  #8
  Sep 9, 2010
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 186
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu yangu,

  Jaribu kuwa mkweli chama kipi kilianza kukichafua kingine? wakereketwa wa Chadema kwa muda mrefu wamemchafua sana Rais hususan kupitia JF na Tanzania Daima. Mimi nadhani wote wanachafuana.Hii ndio hasara ya kutumia vyombo vya habari kama silaha ya mwisho kummaliza mshindani. Kila mmoja wetu atabeba sehemu ya lawana na wala sio CCM au Chadema. Ni wangapi hapa wametumwa na Chadema au CCM, utakuta kila mmoja wetu anafanya bila kutumwa bali ni ushabiki.
   
 9. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #9
  Sep 9, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Nafurahia sana wana ccm kuwa ndumila kuwili........embu icheck post yako jinsi unavyomshabiakia Dr. Wilbroad Slaa

  https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/62779-pesa-wanazolipwa-wabunge-ni-rushwa.html
   
 10. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #10
  Sep 9, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,582
  Likes Received: 4,692
  Trophy Points: 280
  Nyie waramba viatu vya KIKWETE wacheni kupiga kelele, mchezo mloanzisha utawarudi nyie wenyewe, huyo mtu wenu sasa hivi yuko uchi, kwa data tulizo nazo tukizimwaga na hali ya kiafya ya JK, tutamaliza mchezo hata kabla ya October 31, anayebisha asubiri aone.
   
 11. Raia Mwema

  Raia Mwema JF-Expert Member

  #11
  Sep 9, 2010
  Joined: Jun 30, 2008
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Umeenda kubeba picha huko na kuja kuitundika kuibandika hapa. Ni kama ya classmate wako wa zamani.
   
 12. Raia Mwema

  Raia Mwema JF-Expert Member

  #12
  Sep 9, 2010
  Joined: Jun 30, 2008
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  .

  mwaga ugali na wengine watamwaga mboga hakuna atakayepata ushindi. Unafikiri wengine ndio hatuna data za Dk. Slaa, Mbowe na wengine. Ni kwa sababu tu tunaona ni mambo binafsi hayajengi nchi yetu.
   
 13. Raia Mwema

  Raia Mwema JF-Expert Member

  #13
  Sep 9, 2010
  Joined: Jun 30, 2008
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  .

  Ninavyoona mimi, Payuka, sio mwanachama wa chama chochote yeye ni mwanachama wa nchi yake na ndio maana yuko huru kusifia na kukosoa chama chochote cha siasa. Ni mtanzania mzalendo wa kweli asiyetaka kuyumbishwa na hisia za genge la wafuasi wa vyama. Anajenga nchi hajengi chama.
   
 14. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #14
  Sep 9, 2010
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  .

  Ratiba ya Rais na Ulinzi mkali wa masaa 24 anaweza kufanya haya kweli???? Nasita kuamini mia kwa mia.
   
 15. Gobret

  Gobret JF-Expert Member

  #15
  Sep 9, 2010
  Joined: Jun 11, 2010
  Messages: 320
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  CCM na mgombea wenu mnaishi kwenye nyumba ya vioo.Yu wapi Miss Oasis----MOROGORO. Kasha-dead zamani kwa ngoma. Sababu kuu ni Mbayuwayu kipindi akiwa waziri wa mambo ya ughaibuni. Kazi ipo.
   
 16. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #16
  Sep 9, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,582
  Likes Received: 4,692
  Trophy Points: 280
  Kumbe unajua kuwa maisha binafsi ya mgombea siyo sera wala hayajengi nchi mbona mliazisha? Mkuki kwa nguruwe. Tunawasubiri muazishe lingine muone, kwani hili la sasa kwa kweda mahakamani mumesha jipiga kufuli. Mna akili fupi nyie
   
 17. Nostradamus

  Nostradamus JF-Expert Member

  #17
  Sep 9, 2010
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 393
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama unawakilisha bongo za wana CHADEMA, bac chadema hakuna vichwa ni mitungi tu. tatizo chuki yenu dhidi ya CCM imewafanya muwe vipofu na kushindwa kabisa kuona ukweli napindi mkiona mnaukana.mnataka kila mtu ashabikie upumbavu????? upumbavu ni upumbavu tu haijalishi umefanywa na nani,awe kikwete, lipumba au slaa.
  damn,WILBROD SLAA ataaminika vipi? kama ameweza kumuasi mungu na kuasi kiapo cha USEJA na kujiingiza katika zinaa ya waziwazi kiasi cha kumtangaza mke wa ndoa wa mtu kuwa eti ndio mkewe,amepoteza sifa zote za kuwa kiongozi. kama ameisambaratisha familia ya MAHIMBO atashindwaje kuisambaratisha NCHI YETU TANZANIA.
  Mtu asiyeweza kujali familia ya mtu ni dalili tosha kwamba sio mtu anayejali chochote na huo ni uthibitisho wa mambo matatu ( roho mbaya,kutojali na kutokumuogopa mungu)
   
 18. b

  bobishimkali Member

  #18
  Sep 9, 2010
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa misingi ya sakramenti ya ndoa katika kanisa,ni wazi kuwa DK. SLAA amezini kwa sababu josephine alipata sakramenti ya ndoa na mume wake kanisani mbele ya mashahidi. Hivyo,katika msingi huo,kanisa bado linamtambua josephine kama mke wa Aminiel mahimbo na kwamba kanisa haliwezi kamwe kumfungisha tena ndoa josephene na bwana mwingine hadi hapo Mahimbo atakapochukuliwa na mwenyezi mungu (fariki). DK. SLAA anafahamu vizuri sana kawmba amezini na mke wa mtu kwa sababu misingi hiyo anaijua kwa kuwa amewahi kuwa padre
   
 19. asam.thegunner

  asam.thegunner Member

  #19
  Sep 9, 2010
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sawa tuleteeni ila muwe na ushahidi sio story za vijiweni
   
 20. l

  lipa New Member

  #20
  Sep 9, 2010
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kila anayegombania nafasi ya urais kipindi hiki ana mambo ambayo ameyafanya katika maisha yake ambayo mengine ni machafu mengine ni mazuri. Hakuna binadamu aliyekamili hapa duniani. Kutokana na ukweli huu, tusifuatilie yaliyojitokeza katika maisha yao kama ndugu mmoja alivyoandika katika forum hii kuhusu Kikwete na Slaa kuhusu wanawake (wake zao na wanawake wengine). Nionavyo mimi, la msingi ni kufuata sera zao-za nani zitakazoleta maendeleo kwa wananchi. Tusichunguze maisha yao yalikuwaje. Mbona rais Zuma wa Afrika Kusini alikuwa na tuhuma nzito kuliko za nd. Kikwete na nd. Slaa!! TUNAJALI SERA.
   
Loading...