Elections 2010 Redet & Synnovate where are the polls?!

Nyambala

JF-Expert Member
Oct 10, 2007
4,465
1,170
Toka mfumo wa vyama vingi uanze kumekuwa na kawaida ya kuwa na polls estimate kabla ya uchaguzi. Na mara zote imekuwa in favour of CCM. Je mwaka huu vipi mbona hatuwasikii.

Je hii si dalili kwamba mambo si mazuri kwa CCM na mgombea wao as such the pollsters wanaogopa kumuudhi bwana wao CCM?

Jamani si ni hawa REDET, Synovvate tulikuwa tukiwasikia in 2005 na hata mwanzoni wa mwaka huu wakitueleza JK anavyokubalika??????????? Where are they??????????

Hivi kumbe hata polls zinakuwa nzuri kuzielezea iwapo tu upepo upo in the direction of your favorite? Ukienda against.......... nono nono no!! Hilo linchi linakwenda wapi?????????????
 
Good point, hata Sheikh Yahya yuko kimya siku hizi! Kweli mambo yamegeuka!
 
Hali ni mbaya kwa hiyo hizo findings zao wanazipeleka moja kwa moja ikulu, baadaye watakuja na vise versa findings
 
Hao wote achana nao ! Poll zao lazima zipate baraka za the Makambas, Kinanas, Kingunges na Mkulu mwenyewe ndio zitolewe. Bahati mbaya mpaka sasa polls zimekataa kwani kila wanapojitahidi kupiga hesabu hazikubali na Dr. Slaa anazidi kuchanja mbuga. Hii ndio sababu ya uamuzi wa CCM wa kumtesa JK kwa kumpangia ratiba ya kampeni isiyo na mapumziko - yangu macho sijui kama mbio zenyewe zitaisha salama !
 
Yea it is just strange!@
 
toka mfumo wa vyama vingi uanze kumekuwa na kawaida ya kuwa na polls estimate kabla ya uchaguzi. Na mara zote imekuwa in favour of ccm. Je mwaka huu vipi mbona hatuwasikii.

Je hii si dalili kwamba mambo si mazuri kwa ccm na mgombea wao as such the pollsters wanaogopa kumuudhi bwana wao ccm?

Jamani si ni hawa redet, synovvate tulikuwa tukiwasikia in 2005 na hata mwanzoni wa mwaka huu wakitueleza jk anavyokubalika??????????? Where are they??????????

Hivi kumbe hata polls zinakuwa nzuri kuzielezea iwapo tu upepo upo in the direction of your favorite? Ukienda against.......... Nono nono no!! Hilo linchi linakwenda wapi?????????????

wanajipenda?
 
Hao wote achana nao ! Poll zao lazima zipate baraka za the Makambas, Kinanas, Kingunges na Mkulu mwenyewe ndio zitolewe. Bahati mbaya mpaka sasa polls zimekataa kwani kila wanapojitahidi kupiga hesabu hazikubali na Dr. Slaa anazidi kuchanja mbuga. Hii ndio sababu ya uamuzi wa CCM wa kumtesa JK kwa kumpangia ratiba ya kampeni isiyo na mapumziko - yangu macho sijui kama mbio zenyewe zitaisha salama !

Hata TENDWA (pingamizi la Chadema na Mahakama ya rufaa walikwenda kwanza ikulu kuchakachua hukumu kabla kuzitoa hadharani.
 
Back
Top Bottom