Mgombea wa CCM Nzega ashindwa kuanza kampeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgombea wa CCM Nzega ashindwa kuanza kampeni

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by OgwaluMapesa, Sep 9, 2010.

 1. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #1
  Sep 9, 2010
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  kutokana na wananchi wa nzega kutokubaliana na kuenguliwa kwa mgombea wao aliyeongoza kura za maoni. mgombea waliompitisha Dr Hamisi Kigwangala ameshindwa kuanza kampeni hadi sasa kutokana na upinzani ndani ya chama chake. hadi sasa anahakiangaika kuwahamisha makatibu wa ccm wa chama na wa vijana akisema ndio wanampiga vita
   
 2. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #2
  Sep 9, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,845
  Likes Received: 11,964
  Trophy Points: 280
  Si Makamba aende kumfanyia kampeni, Bashe kachaguliwa na wananchi Kigwangala kachaguliwa na NEC CCM wapi na wapi.
   
 3. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #3
  Sep 9, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280

  Duh CCM watakoma mwaka huu.
   
 4. Mtu66

  Mtu66 Senior Member

  #4
  Sep 9, 2010
  Joined: Jun 26, 2007
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mwaka wa Nyani Kufa....
  Wilaya nyingi zinateleza....
   
 5. Tonge

  Tonge JF-Expert Member

  #5
  Sep 9, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mwaka huu atakiona, huyu jamaa kiburi sana kaka, Mwaka huu ni heri akose hilo jimbo n CCM wajue kuwa watu wametuchoka.
   
 6. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #6
  Sep 9, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Vp wapinzani hawana mgombea hapo?
   
 7. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #7
  Sep 9, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,845
  Likes Received: 11,964
  Trophy Points: 280
  John Masanja Mezza - Chadema
  Dominic Kizwalo - CUF
   
 8. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #8
  Sep 9, 2010
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,529
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Wapinzani wamo ndio maana mgombea wa CCM anatakiwa kuanza kampeni
   
 9. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #9
  Sep 9, 2010
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  chadema na Cuf wameweka wagombea. wachadema anasema wampe amshikie Bashe kwa miaka mitano. maana ndio chaguo la watu wa nzega
   
 10. minda

  minda JF-Expert Member

  #10
  Sep 9, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135

  ukiua kwa upanga nawe utakufa kwa upanga. bashe aliletwa na mafisadi; WAMA wakawazidi kete mafisadi. hiyo ni vicious cycle.

  mafisadi walimwua selelii kisiasa; ikulu ikawamaliza mafisadi/bashe. sasa laana ya 'kula nyama ya mtu' imemrudia huyo mteule wa ikulu.


  ukweli ni selelii tu ndiye aliyetakiwa kuwa chaguo la wana nzega kwani alishika ,japo, nafasi ya pili kwenye kura za maoni akapewa wa tatu.
   
 11. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #11
  Sep 9, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Hehehehe hehehe
  CCM nambari wani chama dume. wana akili kushinda watanzania wooote.
  na ni wahuni na wapuuzi kuliko watanzania wooote
   
 12. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #12
  Sep 9, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kati ya hao nani anauzika zaidi ili mjikite kumpigia kampeni.
   
 13. Selous

  Selous JF-Expert Member

  #13
  Sep 9, 2010
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 1,322
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Yupo anaitwa Mezza Masanja. atakuwa na cash? maana ndugu zangu wanyamwezi!!! mh
   
 14. M

  Mwanzo Member

  #14
  Sep 9, 2010
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wapinzani wameweka wagombea hao wawili na anayeuzika sana ni Meza isipokua i dought kama atakuwa na uwezo wa kiuchumi wa kuhimili mikiki mikiki ya kampeni maana as I said Chadema makao makuu wamekariri majimbo ya uchaguzi hivyo hawapo bize sana kwenye majimbo mengine japo kwa NZega wangewekeza nguvu kidogo mno jimbo ni lao!
   
 15. Ilulu

  Ilulu Senior Member

  #15
  Sep 9, 2010
  Joined: Mar 22, 2008
  Messages: 161
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mgombea wa CHADEMA Nzega ni mtaji tosha kwa mgogoro wa wanaCCM, kimsingi mgombea wa CCM amesusiwa na wanachama wake na kinachotokea ni kuwa wapenzi wote wa Bashe wameamua kujindaa kumchagua mgombea wa CHADEMA ili kukikomoa Chama kwa kushindwa kuwapatia mgombea waliyompenda.
  Na hasa inatoka na hali halisi kuwa baada ya BASHE kuenguliwa ndiyo WAKUU wakarudi na kudai hana tatizo la URAI lakini hawakuweza tena kumrudisha kwenye ushindi wake. Wanachama wanaona kuwa ilikuwa njama ya makusudi na dawa yake ni kikichapa viboko CHAMA kwa Kutompa ushirikiano mgombea MTEULE wa VIONGOZI na kumpa ushindi mgombea wa upinzani
   
 16. M

  MC JF-Expert Member

  #16
  Sep 9, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 751
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Wakuu;

  Mimi natokea Nzega japo sipo huko kwa muda mrefu sasa, Meza aligombea mwaka 95 kupitia NCCR na ilisemekana kwamba alishinda ila kura zake ndio hivyo tena zilichakachuliwa...; Jamaa ni mfanya Biashara maarufu sana pale Nzega na naweza sema pasipo shaka ATAPITA na atakuwa Mbunge wa Nzega baada ya Selelii.

  Habari ndio hiyo!
   
 17. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #17
  Sep 9, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Chaguo si linaonekana wazi tu!!!
  Wana nzega msihangaike, kataeni kuchaguliwa mbunge, so tunaomba kura zenu kwa JM Mezza.
   
Loading...