Elections 2010 CCM na upungufu wa magari ya kampeni

Semilong

JF-Expert Member
Mar 5, 2009
1,712
219
habari za uhakika ni kuwa ccm bado wana upungufu wa magari ya kampeni. wameagiza magari kutoka nje ya nchi kupitia toyota na dt dobie TZ.

wamewaambia wanataka magari araka iwezekanavyo kutoka kokote kule duniani. mpaka hawa ma dealer wameshindwa ku meet demand

ninachojiuliza je magari mangapi ya kampeni yanahitajika, na kwa nini magari yote haya
je baada ya kampeni haya magari yataenda wapi
 
kwani zilizo tumika mwaka 2005 zilikwenda wapi, hii chama si cha mafisadi, wanaziiba wenyewe humohumo, mjanja anatoka nazo.
 
Back
Top Bottom