Elections 2010 Hili Ndilo Chaguo Letu Watanzania

TandaleOne

JF-Expert Member
Sep 4, 2010
1,644
709
Jakaya Mrisho Kikwete's video clip:

[video]http://www.youtube.com/user/vijanazaidi#p/u/3/2DlUeI8T6FY[/video]
 
CHAGUO LA MAFISADI NA VIKARAGOSI VYAO. Watanzania siyo wajinga wachague mgonjwa wa kifafa, walifanya kosa hilo 2005 kwa kutokujua lakini safari hii Mungu amewasaidia kufikiri kwa kuwaonyesha udhaifu wake hadharani
 
Nakubaliana na wewe Mkuu......

Last edited by a moderator:
bado hujachelewa kubadili msimamo wako. CHADEMA JUU! JUU! ZAIDI!
 
TANDALE ONE sio raia, sikonge sio raia hivyo hamna mamlaka ya kutuchagulia watanzania kiongozi, watanzania chaguo letu ni weapon.
 
mnatuletea takataka ganu jamani...........yaani mwandishi ungejua ulivyo niathili na hii thread ni km jk anavyoniathili na ahadi zake za uongo na zisizotekelezeka
 
siasa si uadui kibinadamu; ni uadui wa kiitikadi na kisera na ndio maana baada ya matukio ya kuumwa Dr JK na Dr WS walipeana pole kwa nyakati tofauti.
 
Mkuu, mbona twaingizana Choo cha Wanawake na mie ni NGOSHA wa kikweli?

Vipi tena Mwana wane? Au Computer yetu haichezi hizo Video za Youtube? Pole sana.
TANDALE ONE sio raia, sikonge sio raia hivyo hamna mamlaka ya kutuchagulia watanzania kiongozi, watanzania chaguo letu ni weapon.
 
bado hujachelewa kubadili msimamo wako. CHADEMA JUU! JUU! ZAIDI!

Mnao uhuru wa kuongea.Shademaa.Haha,jifunzeni basi walau kidogo jinsi ya kuwa wapinzani wenye maana!!Nendeni Ghana na Kenya.Learn.
 
Mkuu, mbona twaingizana Choo cha Wanawake na mie ni NGOSHA wa kikweli?

Vipi tena Mwana wane? Au Computer yetu haichezi hizo Video za Youtube? Pole sana.

Haha,wala sitoki kule kanda yao.That means nikisema tu nagombea hata uenyekiti wa chama nitapigwa stop.
 
Back
Top Bottom