Elections 2010 Kikwete baada ya kuanguka mnamtaka azimie?

chilamjanye

Senior Member
Oct 5, 2007
110
3
KIKWETE BAADA YA KUANGUKA MNAMTAKA AZIMIE?

Jamani nasikia Kikwete Hatapumzika kama ratiba ilivyokuwa awali kwamba kwa vile anaanguka mara kwa mara atafanya kampeni kwa awamu ili aweze kupumzika. Sasa leo tunaambiwa hatapumzika tena. Je akianguka mara nyingine si ndo hatazinduka kama alivyo Eriel Sharon. Mhurumie apumzike afya yake haistaimili kazi ngumu jamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
It's better watuambie ukweli what's wrong with him. Nadhani kuna mambo yamejificha sana hapo! :mad2:
 
Hawamuonei huruma kwa kweli ila siku hizi kila msafara wake gari la Ambulance liko karibu naye
 
Ila kweli atakuwa ana matatizo maana amedanganywa sana, ameanguka sana mpaka unajiuliza ana nini huyu?
 
Ana wakati mgumu, afya imedorora na upinzani mkali kwenye kampeni!!..Masikini JK!!
 
Ndiyo matatizo ya UNAPOKULA VYA Mu-Ajemi Rostam Azziz, Mhindi Yusuf Manji na Msomali A. Kinana.

Lazima ulipe tu hata kama utakuwa unaongelea kwenye ambulance........

Al Shabaab hawataki Mchezo bana........

attachment.php


Ed JK Ambulance.jpg
 
Ana Upungufu wa Kinga MWIlini,
Una uthibitisho wa hicho ukisemacho??..nadhani kila mwanadamu inatokea mara kwa mara kuwa na upungufu wa kinga mwilini ndo maana magonjwa kama mafua na TB zinawakamata watu..hizo zinatokana na weak body immune..sasa kwa His execellency r sure of wot u said?
Nadhani kwakuwa ramadhan imekwisha rasmi leo ndo maana wamesema hivyo kuwa hakuna kumpumzika atakuwa anakamiza msosi wa haja full cow!!! and madikodiko mengine!!! :becky:
 
Back
Top Bottom