Can we take a break and at least discuss something worthy discussing?How the Grameen bank project became a reality?How we can have effective plans for solar power in our villages?How we can set up...
Mwenyekiti wa Chadema wilaya ya Muheza atimkia CCM.
This is his confession.Siasa za Bongo safi sana.
YouTube - Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Muheza ajiunga CCM (MIchuziBlog)
Tarishi Hauwawi.
Election Campaigns and Politics of Performance
For some obvious reasons I am not a fan of election campaigns. I dont like attending or analyzing them. To me leaders emerge ...
Leo ni siku ya amani duniani katika kuazimisha siku hii.,napenda wana JF waenzi japo kwa muda wa siku moja( yaani leo hii au 31 november ) kwa kudumisha amani ambayo misingi yake ilishafanywa...
Tanzania imepokea tuzo kwa kuandikisha watoto darasa la kwanza 95% kwa Afrika kama sehemu ya utekelezaji wa MDG 2 (HabariLeo 21/09/2010). Kutokana na reports za MDGs ni asiye mwelewa wa MDG 2 ndio...
MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe amedai kuwa ana taarifa za matokeo ya utafiti uliofanywa na taasisi ya Synovate zinazoeleza kuwa mgombea wa chama chake, Dk Willibrod Slaa aliongoza kwa...
Ndugu zangu,
Usiku wa leo nimekosa kabisa usingizi kwa kuufikiri mstakabali wa nchi yangu chini ya chama filisi cha CCM. Msongo huu wa mawazo ulinifikisha mahali pa kujiridhisha kwamba chama...
Tanzania imepewa TUZO kwa kuweza kufanya vema kuhusu kuandikisha watoto kwenda shule ya Msingi. Hii ni moja ya mambo muhimu sana kwa maendeleo ya Tanzania. Serikali imefanikiwa sana kwa hili...
Hivi karibuni kumekuwa na mjadala kwenye jukwaa hili kuhoji uhalali wa Mke wa Rais kutumia rasilimali za walipa kodi kumfanya kampeni za kumrejesha mumewe madarakani. Ninatoa rai kwa wanajukwaa...
Ni siri ya wazi kuwa taasisi yenu imekuwa ikifanya kazi za CCM. Hilo lingekuwa sio tatizo laiti kufanya hivyo kungekuwa kwa maslahi ya taifa.
Tunaamini kuwa kuna wazalendo mliosalia ndani ya...
Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dodoma kimeshindwa kutoa sababu za msingi juu ya nini kimemsibu mgombea Urais wa Chama hicho hadi kuamua kuahirisha ziara yake aliyotakiwa kuifanya katika wilaya tatu...
Wana JF naomba kutoa hoja;
Kama JK akishinda urais basi ni budi Lowawa awe waziri mkuu kwani alionewa kushinikizwa kujiuzulu.
Wote mnafahamu kuwa hakuna mtu amechukuliwa hatua kwenye RICHMOOND...
Anayependa maendeleo atatambua mafanikio ya serikali-Mama Salma
NA JACQUELINE LIANA, BAGAMOYO
MWENYEKITI wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA), Mama Salma Kikwete, amesema mtu anayependa...
Hivi ni kweli kuna watu bado wanauza kura zao hapa Tanzania??????
Hivi ni kweli kuna wanasiasa viongozi mabingwa wa kufoji risiti????
Na ni kweli kwamba siasa zetu zimetawaliwa na blah blah kuliko...
Gazeti la Nipashe leo limemnukuu Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema na mgombea ubunge wa jimbo la Hai akiwaahutubia wananchi katika jimbo hilo akisema:
"Ni aibu mikutano ya kampeni za CCM...
Kaimu Mkurugenzi wa mji wa Arusha, Estomi Changah jana alianza kazi rasmi kwa kasi ya aina yake, baada ya kukubali malalamiko ya Chama cha Mapinduzi (CCM) juu ya mgombea wa Chadema Jimbo la...
Baada ya Mwenyekiti wa Chadema kusema kwamba utafiti wa synnovate unaonyesha kwamba Dr. Slaa anaongoza kwa umaarufu mbele ya JK, na baadae Synnovate kukanusha taarifa hizo, kuna dalili kwamba...
Jakaya Kikwete wakati akifanya kampeni mkoa wa Kilimanjaro aliahidi kuboresha hospitali ya Mawenzi kama inavyoelezea kwenye nyekundu hapo chini
JK wants to know candidate financing Mawenzi...
Katika gazeti la Mtanzania 21/09/2010 imeandikwa kwamba Mama Salma amesikitishwa na kuangushwa kwa Mwantumu Mahiza, Naibu Waziri wa elimu. Kwenye Majira 21/09/2010 Mama Salma anasema kuwa WAMA...
Naendelea kujifunza kuhusu JK!
Kumbe madaraka ni matamu wakuu!
Jamaa amekata ule utalii na safari zote za Merikani na Ulaya alizokuwa anazifanya kila mwezi, ili kutetea nafasi yake ya...