OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 435
Uongozi wa chuo cha biashara umefanya ufisadi wa zaidi ya shillingi bill 2.5
ambapo ni jumla ya TUITION FEES za wanachuo 400, kwa miaka mitatu 3 Ambapo kila mmoja alipaswa kulipiwa sh/=1,200,000, ikiwa ni Tuition fees
Mwaka 2005, wizara ya viwanda na Biashara iliwapa wanachuo zaidi ya 400, udhamini wa Tuition fee, Pasipo malazi,Stationery nk, kutokana na kutopata udhamini kamili kutoka wizara husika wanachuo walilazimika kuomba mkopo kwenye bodi ya mikopo (Higher Education loan Board),ili wapate fedha za kujikimu Malazi ,stationery nk..!!
Cha kushangaza bila kufahamu Bodi ya Mikopo ilitoa tena udhamini na kusababisha kukawa na Double payment,
Hivyo Basi wanafunzi walivyouomba uongozi wa chuo urudishe fedha bodi ya mikopo ambazo zilitolewa na bodi kimakosa wakati tayari wizara imeisha toa udhamini,
Uongozi huo ukiongozwa na mkuu wa chuo mpya wa CBE-Dar-es-salaam Dk.lugoe,Makamu Mr. hemed,na Mr.Kiputiputi wa tawi la Dodoma,walikataa kurudisha fedha hizo, na wanafunzi waliomba ikiwa imeshindikana kurudisha basi mwanafunzi anapoendelea pale chuoni kwa level nyingine ya post graduate. wasome bure kwani zile fedha zitafidia
lakini bado uongozi huo haukukubaliana na hilo,hivyo basi wanachuo wanaiomba serikali iingilie kati ili kukomesha ufisadi huo wa waziwazi na kuchukua hatua kali kwa wahusika,.KWA MAANA FEDHA HIZO ZITALIPWA NA WANACHUO HAO