Mkutano Wa Nchi 12 Wapendekeza Umoja Wa Afrika

Ipole

JF-Expert Member
Apr 15, 2008
294
9
Mkutano mdogo wa siku mbili wa wakuu wa Umoja wa Afrika ulifungwa tarehe 23 Mei huko Arusha, mji ulioko kaskazini mwa Tanzania. Mkutano huo ulipendekeza kutimiza lengo la kuunda Nchi ya shirikisho ya Afrika hatua kwa hatua.

Baada ya mkutano huo, mwenyekiti wa zamu wa Umoja wa Afrika ambaye pia ni rais wa Tanzana Bw. Jakaya Kikwete aliyeendesha mkutano huo alisema, mkutano huo umeamua kuwa lengo la Umoja wa Afrika ni kuunda Nchi za shirikisho lenye nchi zinazojitawala na kujiamulia.
 
am totally against it ! muungano wa nchi za africa uweze kupendekezwa ndani ya siku 2 ?? are they serious ??

no bana, hatutaki maana nchi nyingine zina chuki, vita, ukabila na upuuzi mwingi ambao watanzania can not afford !
 
Viongozi wa afrika vikao vingi mno, sasa twendeni kazini tuweke pembeni vikao vya mapendekezo ya kuunda serikali nyingine masikini itayokuwa ombaomba.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom