This will happen on sunday 31st October, 2010 whereby CCM will be burried at the NEC Cemetery.
You are all welcome to say a word of goodbye to our neighbour!!
African countries that kill their generals, become rich
Wait for it. In a few hours the United Nations summit on the Millennium Development Goals starts in New York.
The MDGs are targets world...
WanaJF, nimegundua kuwa ni CHADEMA na vyama vingine vya upinzani ndiyo vinasema kuwa vikipata madaraka vitapiga vita ufisadi. Je ni kwa sababu CCM imejaa mafisadi wengi?
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
*
Tanzania imeshinda tuzo kwa kutekeleza vizuri malengo ya Elimu katika Malengo ya Maendeleo ya Milenia ya Umoja wa Mataifa yanayotakiwa yakamilishwe mwaka...
The secret of victory votes to Ikulu
Revealed: The secret of victory votes to Ikulu
By Guardian on sunday team
19th September 2010
However, according to our analysis, Dodoma, Tanga and...
Ulimi wamponza Yusuf Makamba
wakazi Kariakoo wadai amewadhalilisha
Washinikiza aombe radhi, ajiuzulu
Kauli iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bw Yusuf makamba...
Mchumba wa Dk. Slaa, Josephine, akisalimia wananchi wa Karatu mkutanoni, juzi Alhamisi.
Dk. Slaa hatumii shangingi. Hiki ndicho kipanya anachotumia katika ziara zake za kampeni. Katika picha...
jamani tumsaidie kikwete kama binadamu mwenzetu kwa nia nzuri tu juu ya mwenendo wa kampeni za uchaguzi na uhuni wanaomfanyia wenzake/timu yake ya kukusanya watu kwa malori,kuwapa elfu hamsini...
Wananchi wenzangu kuna suala nahitaji tuliangalie kwa uzito wake; je ktk uchaguzi wa mwaka huu wafungwa watapiga kura kuchagua rais, wabunge na madiwani?
Mwanzoni mwa mwaka huu nilibahatika...
Wanajamii watu wamejaa Dr Slaa ndio ameingia uwanjani ni full shangwe,magari,piki za kufa mtu,hakuna cha kuwekewa mafuta.watu wamevaa ujasiri hakuna woga kabisa.mkutano unaendele.
Msajili wa Vyama vya Siasa, John Tendwa amedai kwamba wale wasiorudisha Fomu za Gharama za Uchaguzi hawataongezewa muda na wataondolewa katika kujihusiha na uchaguzi!
Kazi ipo mwaka huu, wagombea...
AUMIZA VICHWA KAMATI YA MZEE MWINYI
Geofrey Nyang'oro na Ramadhan Semtawa
SPIKA wa Bunge Samuel Sitta ametoboa siri ya ujasiri wake akisema inatokana na nguvu za Mungu, ambazo zimekuwa...
Jamani mimi nashindwa kuelewa uoga ulio waingi ccm hadi kufikia kutumia pesa kwakukufuru kwenye mabango yao kwakuchukua picha za Ikulu nazingine za kwenye masanduku yaliyoota kutu na kama siyo...
Tangu JK aingie madarakani hajawahi kukosa mkutano wa UN general assembly hapo New York. Kwa mwaka huu mkutano huo unaanza kesho tarehe 20 September hadi tarehe 22 September 2010, na sijasoma...
Wanajamvi nimeitafakari kauli mbiu ya MH Lowassa kama inavyoonekanaa katika mabango yake ya kampeni huko Monduli na Kusomeka: Tulihuzunika pamoja....na tutashinda pamoja.
Je kwa hisia za kawaida...
CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimenawa mikono kuhusu ombi la mgombea ubunge wa Urambo Mashariki, Samuel Sitta la kutaka mdahalo na mgombea urais wa Chadema, Dk Willibrod Slaa kikisema hakihusiki na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.