Ndugu zanguni wana JF, ninaomba kueleweshwa kidogo juu ya urejeshaji wa mkopo wa vyuo vikuu
1. Ni kwa nini wanasiasa waliweka seal yaani watakao lipa ni wale walio maliza vyuo vikuu kuanzia 1994...
na Tamali Vullu, Mbulu
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jakaya Kikwete, amesema serikali yake ijayo itazipandisha hadhi hospitali maalumu saba nchini ziwe za rufaa, ili...
wakati kampeni zinaendelea kupamba moto mpaka sasa hatujawasikia Mkapa, Mwinyi, Msuya, Warioba na Sumaye wanampigia kampeni Kikwete....kuna tatizo gani? au ndo wamemtosa? Nyerere alimsaidia sana...
Ninasikia vyuo vingi vya Tanzania hasa vikuu vitafunguliwa baada ya uchaguzi except SAUT ambao wanafungua kesho.
Implication
I. Vijana waliojiandikisha maeneo ya vyuo wasipige...
Nimemesoma kwa masikitiko makubwa kuwa wananchi wa monduli wataendelea kumchagua lowasa kwa sababu amewaletea maendeleo makubwa katika jimbo lake. Kwa mtazamo wangu naona hii inaonyesha jinsi...
Ndugu Wana-JF: katika gazeti la Mwanahalisi la leo kuna hii makala ya Saed Kubenea (Uk wa 10) ambayo nimejaribu kuweka hapa sehemi yake kubwa tu. Makala inaibua mapya kuhusu namna wajumbe wa...
Kampeni zamngoa Mkurugenzi Arusha
Harakati za uchaguzi mkuu jimbo la Arusha, sasa zimechukua sura mpya baada ya kuhamishwa ghafla Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Jiji la Arusha Raphael...
Katika hali isiyotarajiwa na inayotia shaka Mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chadema Ndugu Godbless Lema amekutwa Bar akiwa amekaa na viongozi wa andamizi wa Chama Cha Mapinduzi katika Bar ya Family...
Katika kipindi hiki ambacho nchi yetu inaelekea kwenye uchaguzi mkuu wa urais, wabunge na madiwani ni wazi kwamba masikio,macho na mawazo mengi ya watanzania yameelekezwa kwa wagombea hasa katika...
Uchaguzi wa Mwaka huu hautaleta mabadiliko makubwa kwenye ngazi ya Raisi na hata Wabunge na Madiwani pamoja na kwamba hapa JF panaonyesha kuwa watu wanamwamko mkubwa wa mabadiliko.
Nikiangalia...
Kwa mujibu ya wa kamusi yangu ya kiingereza:
bigot [ˈbɪgət]n a person who is intolerant of any ideas other than his or her own, esp on religion, politics, or race
chauvinist - a...
Wakuu kesho Dr W Slaa atakuwa na mikutano miwili jijini Arusha.Mkutano wa kwanza utaanza saa nne asubuhi Mbauda sokoni na mwingine utafanyika saa tisa Kijenge.
Dr W Slaa ataambatana na makamanda...
Kwa kweli kuna mwamko na hamasa kubwa baada ya ujio wa Dr Slaa.Kwa sie tulio mbali na huko nyumbani kipimo kidogo ni comments katika tovuti za magazeti na nyinginezo.Binafsi nimekuwa nikifuatilia...
Siku ya jumanne tarehe, 21/9/2010, DR SLAA, anatarajia kuhutubia wakazi wa tarakea, na kutumia uwanja wa shule ya secondary Tarakea, ambao uko zaid ya kilomita 3, kutoka tarakea mjini, tangazo...
Mwaka wa huu wa uchaguzi tume ya taifa ya uchaguzi inakuwa na bajeti iliyopitishwa kughaimia uchaguzi katika kila jimbo
Je wastani wa gahrama ya uchaguzi kwa kila jimbo ni shilingi ngapi...
kauli mbiu iliyoandikwa ktk mabango ya mgombea wa chama cha mafisadi CCM.. aaah samahani jamani wana JF, CHAMA CHA MAPINDUZI, hivi hii kazi ,Ari zaidi, ni kitu gani kasi zaidi wanakokimbilia...
Akimnadi Lowassa, Rais Kikwete alisema, huyu ni mtu anayewapenda sana, anawahangaikia sana, haya yote (mafanikio) yanayosemwa sasa yametokana na juhudi zake hakuna mwakilishi mzuri kushinda...
Hii naona haijaandikwa! ni kwamba jana makamba alikuwa na waandishi wa habari pale msaliti wetu Richard Kiyabo alipotawazwa uCCm.
Ikumbukwe huyu bwana alikuwa kama tairi la trekta kwenye kilmo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.