Elections 2010 Kikwete na simulizi ya mfalme jua

urasa

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
434
2
jamani tumsaidie kikwete kama binadamu mwenzetu kwa nia nzuri tu juu ya mwenendo wa kampeni za uchaguzi na uhuni wanaomfanyia wenzake/timu yake ya kukusanya watu kwa malori,kuwapa elfu hamsini madereva wa taxi wanaosindikiza misafara kama wapambe kila anapopita,yeye hutokea na kuona watu wamekwisha kusanywa na kuanza kuhutubia pasipokujali kama wamekuja kwa mapenzi yao au la,anachkelea kuona umati mkubwa na pengine kujisemea moyoni mwaka huu ni wangu,hakika atashangazwa na matokeo mwaka huu kama dalili zinavyoanza kuonekana kupitia tafiti mbalimbali japo nyingine hawataki matokeo yajulikane kwa umma,hapa ananikumbusha simulizi za mfalme juha wa nchi ya kichaa,hakutaka kushirikisha ubongo wake ktk jambo lolote lile,
 
Ukweli unabaki kwa watanzania kuwa Dr. Slaa ni chaguo la watanzania wenye uchungu na nchi hii. Ukweli huo unawauma lakini hawataubadilisha kwa kuficha hayo matokeo ya tafiti zilizooneshwa.
 
Back
Top Bottom