Je CCM matuona wazembe??wakufikiria??

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Jamani mimi nashindwa kuelewa uoga ulio waingi ccm hadi kufikia kutumia pesa kwakukufuru kwenye mabango yao kwakuchukua picha za Ikulu nazingine za kwenye masanduku yaliyoota kutu na kama siyo ukungu!!
Juzi nili msikia A.Kinana anasema mabango ya Ikulu yametolewa je BANGO LILILOPO PALE OYSTERBAY POLICE JE SIYO BANGO LA IKULU??LENYE PICHA YA KIKWETE NEW YORK NA BAN-KI- MOON JE ANAHUSIKA VIPI NA CCM??ZIARA ZAKE NCHINI ZINAHUSIKA VIPI NA CHAMA??
Pili hii picha hipo ulipolipuliwa ubalozi wa marekani ya Kikwete na Mama mmjo wa enzi hiyo inahusika nanini katika kampeni??wana ccm nawaomba majibu!:eek2:
 
WANAONA aibu sasa.
wanasema wameombwa kuyatoa.
WANAMDANGANYA NANI?
 
WANAONA aibu sasa.
wanasema wameombwa kuyatoa.
WANAMDANGANYA NANI?

Jingine liko karibu na traffic lights za Chang'ombe linamwonyesha mgombea wao akikagua jeshi la nchi si chipukizi wa ccm huu kama si ugomvi ni nini jamani? Halafu hawa jamaa wana pesa lakini uwezo wa vichwa vyao uko chini mno. Nimekwenda mikoa ya kaskazini last week ni mabango mwanzo mwisho mpaka inakera kwa kweli. Lakini kinachoniuma zaidi ni kwamba hakuna hata bango moja lenye substance yaani yote ni porojo tu na picha za wagombea zilizochakachuliwa. Hivi jamani mlishnidwa kukaa chini na kubuni japo kidogo kipi cha kuweka kwenye hayo mabango? Shame on you!
 
Kuna na bango roundabout ya kigogo linamwonyesha kikwete na albino ila halionyeshi limewekwa na wizara ani au taasisi yoyote lipo kibubu!!
 
Back
Top Bottom