Mheshimiwa Slaa yuko kata Kimandolu Arusha. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mheshimiwa Slaa yuko kata Kimandolu Arusha.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Giroy, Sep 18, 2010.

 1. G

  Giroy Member

  #1
  Sep 18, 2010
  Joined: Dec 17, 2008
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanajamii watu wamejaa Dr Slaa ndio ameingia uwanjani ni full shangwe,magari,piki za kufa mtu,hakuna cha kuwekewa mafuta.watu wamevaa ujasiri hakuna woga kabisa.mkutano unaendele.
   
 2. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #2
  Sep 18, 2010
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  safi sana. mwaka huu mpaka kieleweke. Hongera rais mtarajiwa.
   
 3. E

  Estmeed Reader Senior Member

  #3
  Sep 19, 2010
  Joined: Mar 19, 2010
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama nikijenga nyumba yangu ndogo kwa miti na matope na kuiezeka kwa nyasi; sakafu ya simenti na madirisha ya vioo na nijenge nyingine ya kubwa ya matofali ya matope, pia, na chini niweka simenti na madirisha ya vioo, "serikal" ya "Rais" Dr Slaa itanifikisha kortini, kulingana na usemi wake, ". . . . atakapoingia madarakani, serikali yake itatunga sheria ya kuwazuia wananchi kujenga nyumba za nyasi na matope, kama njia ya kuinua na kuboresha makazi yao?" (ippmediaonline)

  Naona tutapelekwa wengi kortini – hasa sisi wa kutoka Dodoma na Mbulu!
   
 4. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #4
  Sep 19, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Utawezeshwa mkuu hata usiwe na wasiwasi,hiyo ni mipango endelevu mkuu,utajenga nyumba na si kwa kifisadi bali kwa kuwezeshwa....Dr. Slaa kwa presidaa 2010
   
 5. i

  ilboru1995 JF-Expert Member

  #5
  Sep 19, 2010
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,331
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Tatizo lako huwa unasikiliza uli upate la kujibu na si kuelewa... tafadhali rudi shule bado ungali kijana ndugu yangu....Kwa rasilimali tuliojaaliwa watanzania inawezekana kabisa wananchi kuwa na nyumba bora, maisha bora kabisa ktk sayari hii dunia... SLAA ni tumaini la kweli kwa Watanzania wote bila kujali dini na itikadi zetu ...
   
 6. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #6
  Sep 19, 2010
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Yaani JF kuna mambo!! Kuna mtu mwengine naye kasema hakuna haja ya kuwasakama mafisadi maana kama "si wao majumba mazuri ya Mbezi,Oysterbay na Masaki yasingekuwapo" bila kujiuliza wamepataje? Maana si wote wenye fedha ni mafisadi! Mtu ajiulize, kama housegirl/houseboy ama mlinzi wako akikuibia halafu akaenda kununua shati zuri utamsifia? Au mfanyakazi wako akakuibia kila kitu ndani akapakia katika fuso akaenda kijijini kwao akaviuza akanunua nyumba, utamsifia? Sasa hao wanaoitwa mafisadi hayo majumba ni fedha zetu wametuibia kwa njia mbalimbali na ndio wanatufanya tuwe masikini na hata JK ameathirika na huo wizi ndio maana anatembeza bakuli huko nje, kwa utajiri wetu hakuna sababu ya watu kuishi nyumba za nyasi!
   
 7. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #7
  Sep 19, 2010
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Watanzania wengi wame-aminishwa kuwa umasikini ni sehemu ya maisha yao na hauwezi kuondoshwa na wao waka wa-amini wasemaji (CCM). Mwaka 1995, CUF walisema waki-ingia madarakani watafuta kodi ya kichwa, CCM walipinga vikali wakasema nchi zote duniani zinalipa kodi ya kichwa, vinginevyo fedha za kuendesha serikali zitakosekana! CUF walitoa mwarobaini wa jinsi ya kupata fedha mbadala wa kodi ya kichwa. CCM walivyoingia madarakani, wali-copy strategy ya CUF wakafuta kodi ya kichwa. Leo Dr. Slaa anavyosema atatoa elimu bure, nyumba za nyasi na mbavu za mbwa zitakuwa historia, tumuamini kwani Tanzania ina kila resources za kufanya maisha yetu yakawa bora zaidi. Umasikini tulio nao ni wakujitakia! Mwaka huu TUSEME BASI YATOSHA. CHADEMA TUIPELEKE IKULU OCTOBER.
   
 8. B

  Bull JF-Expert Member

  #8
  Sep 19, 2010
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata Mrema alibebwa miaaka iliyo pita Wa TZ ukiwa kitu kidogo watakusherehekea, lakini kura zao wanajua watampa nani, Mchungaji Slaaa angeuburi kanisani angepata watu wengi zaidi, sababu huko ndio kwenye career yake, lakini bahati mbaya Uchungaji umemshinda kwa kupenda ngono!!!!1
   
 9. N

  Ngandema Bwila JF-Expert Member

  #9
  Sep 19, 2010
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 1,000
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  kwa mara ya kwanza nimehudhuria Kampeni za CHAMA CHA MAENDELEO, KIMANDULU DR. WAKWELI SLAA alifunika. AMEINGIA NA DALADALA, Ameanza kubana matumizi kwa vitendo mapema. Inatia moyo mabadilko ya kweli yanakuja NIMEPITA NIKIDADASISI MTAZAMO WA VIJANA WENGI wanamkubali Dr. Wakweli SLAA (JANA nimepata hii KUNA Dr. wakweli SLAA na Dr Wa MAGUMASHI naye Anagombe Urais,).
   
 10. J

  JIWE2 Senior Member

  #10
  Sep 19, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 123
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Tupo pamoja. mpaka kieleweke.
   
 11. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #11
  Sep 19, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Nchi hii imejaliwa kwa kiasi cha kutisha kuwa na makundi ya makondoo badala ya watu.
   
 12. M

  Mtuwamungu Senior Member

  #12
  Sep 20, 2010
  Joined: Jun 21, 2007
  Messages: 110
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  I wish I were in Arusha to support this prospective President and to witness the hope and desire of the people who ready to bring the country back in the hands of the Tanzanian people.

  Go Dr. Slaa, God is with you. You are the Messiah sent to bring Tanzania into the hands of Wananchi and away from the hands of Mafisadi.
   
 13. M

  Mtuwamungu Senior Member

  #13
  Sep 20, 2010
  Joined: Jun 21, 2007
  Messages: 110
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  I am so sorry for you Bull. I pray that God may forgive you because you do not know what you are saying. Kama kila mtu angebaki kwenye "career yake" basi nchi hii isingekuwa na viongozi maana wengi wa viongozi tulio nao walikuwa na "career" zao. Wengine walikuwa waganga, mainjinia, wahadhiri, wahasibu, n.k.
   
 14. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #14
  Sep 20, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,164
  Likes Received: 1,251
  Trophy Points: 280

  Tatizo SISIEM alishawafanya mjione Mazuzu kwamba kila kitu hakiwezekani, ukiwepo usimamizi mzuri wa rasilimali za nchi hiki kitu kinawezekana. Nyumba zitajenmgwa, nyumba zilezile zilizoko kwenye ndoto ya Slaa.
   
 15. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #15
  Sep 20, 2010
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Tatizo lako na wewe unatuletea usanii tu. wewe mwenyewe nyumba yako wala haiko hivyo, ila utaka nyumba za wenzako iwe hivyo
   
 16. s

  schulstrasse Senior Member

  #16
  Sep 20, 2010
  Joined: May 31, 2010
  Messages: 107
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I remember chuoni Prof. kwenye development studies alituambia "you can not eradicate poverty,you can only alleviate it" so watz wengi wanaaminishwa kuwa umaskini ni kitu cha kawaida na wanaridhika...umaskini tukipigana tunauondoa but how??our own government is exploiting us,mbona nchi nyingi zilikuwa maskini na zimepiga hatua??TZ tangu nikiwa mdogo hadi uzeeni no any change why??:confused2:
   
 17. s

  schulstrasse Senior Member

  #17
  Sep 20, 2010
  Joined: May 31, 2010
  Messages: 107
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Best umetumwa nini??Hongera kwa kipande cha khanga ya KIjani na Tsh 2000....Slaa will be the Presient
  :welcome:
   
Loading...