Mhango: Kikwete angejibu nini kuhusu mama salma kikwete? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mhango: Kikwete angejibu nini kuhusu mama salma kikwete?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by minda, Sep 20, 2010.

 1. minda

  minda JF-Expert Member

  #1
  Sep 20, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Nkwazi Mhango anauliza hivi:


  "Hivi Kikwete angejibu nini kama angeulizwa [kuhusu] chanzo cha fedha zinazomwezesha mke wake kumpigia kampeni...?"


  Source: MwanaHalisi, Septemba 15-21, 2010.


  my take:

  jifanye salva rweyemamu au hizza tambwe kisha ujibu swali hilo la bw. mhango.
   
 2. K

  Kishazi JF-Expert Member

  #2
  Sep 20, 2010
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 485
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Kama ambavyo alijibu kuwa hajui kwa nini Tanzania ni Maskini, ndivyo atakavyojibu swali lako kwa kusema "hata mimi nashangaa sijui kazitoa wapi hizo hela na ndege"
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Sep 20, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Hivi bado hamjastuka kuwa huo ni mpango kamambe wa familia hiyo fisadi kujitwalia fedha za nchi?
  Hapo inatengenezwa himaya ya untouchables, ni awamu ya mwisho hii jamani tukumbuke!
  Bila hivyo yale majumba yanayoonekana pale kijijini kwake yataishaje?
  Kila mtu kapewa hesabu ya kuwasilisha jioni!...huh!
   
 4. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #4
  Sep 20, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Atakuambia WAMA ndo wanamfadhili
   
 5. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #5
  Sep 20, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Mkuu,

  Hiyo ni mbaya sana endapo machafuko yakitokea au uongozi mwingine ukiingia kama ule wa hayati Levi Mwanawasa (Zambia LT President) kile kiji pale chalinze kwa mzee na ule msikiti opposite kwenda kwa lile jumba la kifahali litapotea kwa muda mchache sana. Unajua hakua kitu mbaya kama uongozi wa kifamilia, sasa sielewi kama President famili huwa wana mshauri wa kuwaelezea kumbuka JFK huko USA. ingawa wengine walibaki kwa siasa ila msukosuko walioupita mmmh.

  kwa ushauri wangu wa bure familia isijingize kwenye siasa kiasi hicho inaleta picha mbaya sana kwa nchi maskini kama TZ wanachi watafikilia vipi hiyo familia??


   
 6. KAZIMOTO

  KAZIMOTO JF-Expert Member

  #6
  Sep 20, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 1,073
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tumeona hata USA Bill Clinton alimnadi mke wake wakati ule yuko katika harakati za kuusaka urais wa marekani. Ni kama nayo imekaa kifamilia vile!!!!!!!!!

  Nimeona mke wa Barack Obama, akizungukuka USA kufanya shughuli za hapa na pale. Ni kama nayo imekaa kifamilia vile!!!!!!!!!!!
   
 7. KAZIMOTO

  KAZIMOTO JF-Expert Member

  #7
  Sep 20, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 1,073
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi sioni makosa kwa mke wa rais kumpigia kampeni mume wake kama anazo hoja za msingi za kuwashawishi wananchi kwamba mume wake anafaa kutuongoza. Hoja ya msingi si uwepo wa mke wa rais katika kampeni bali ni hoja ambazo mke wa rais anajenga kuwashawishi wapiga kura.
   
 8. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #8
  Sep 20, 2010
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  ishu sio hoja kinachowaumiza watanzania ni gharama zinazotumika kufanya kampeni ikiwahusisha wanafamilia wa JK, lakini pia watu wanahoji nafasi ya huyo mama kikatiba ni ipi hadi apokewe na viongozo wa serikali ambao kila kukicha wanalalamika tabia ya huyo mama kuomba hadi taarifa ya mkoa, yeye ni nani? usiache hoja ya msingi we kazi moto .
   
 9. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #9
  Sep 20, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Anafanya hizo kazi kama FIRST LADY!!!
  Mbona first lady wako anayo WAMA pia, hushangai hiyo nayo!
   
 10. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #10
  Sep 20, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Mkuu umepatia sawia HAYO NDO MAJIBU YA salva bila kukopa sehemu.

  Wewe huoni tatizo kwa sababu kupelekeshwa kwako ni utamaduni lakini utawala wa sheria kwako ni tatizo. Kama kweli anaruhusiwa, weka clear kwamba aliombwa na cc ya ccm na tukienda kule Tume ya uchaguzi tutakuta ratiba yake ya kampeni kwa nafasi ya kumnadi mgombea urais na wabunge.
  I DARE TO SAY
   
 11. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #11
  Sep 20, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hii tabia ya kulinganisha US na Tz itakuja kutuletea madhara mbele ya safari. Kuna mambo ukiyalinganisha hayawezi kutoa majibu yanayofanana. Hili la ma first lady ni sawa na kulinganisha haki za Wamarekani kwa balozi zao nje ya nchi yao na haki za Watanzania na balozi zao nje ya Tanzania
   
 12. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #12
  Sep 20, 2010
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Lakini pesa iliyotumika huko US 2008 na BIll Clinton na MIchelle Obama ilikuwa ni ya kampeni zao na zilikuwa accounted for siyo kama hapa mke anatumia pesa za walipa kodi kutoka hazina eti kwa vile ni festi ledi
  Alafu kikatiba hatuna institution ya FL ... wakati Marekani inatambua institution ya FL... sijui nimekusaidia ktk kutoa ufafanuzi?
   
 13. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #13
  Sep 20, 2010
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,326
  Likes Received: 1,793
  Trophy Points: 280
  Kama hiyo ni startegy ya familia basi ni mufilisi. Enron ilikubali kupigwa mweleka na ubabaishaji. Hawa watu wataweza kweli kwa haya mambo yao ninayoyaona? Thubutu
   
 14. Ulimbo

  Ulimbo JF-Expert Member

  #14
  Sep 21, 2010
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 678
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Angejibu kua Urais ni jambo la kifamilia na si la kitaifa
   
 15. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #15
  Sep 21, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,944
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Jibu ni kwamba "WAMA na CCM wana - fungate" jibu kutoka kwa Mama Salma akimsaidia mumewe kijibu hilo swali (Majira, 21/09/2010)
   
Loading...