Elections 2010 Msajili: "Wasiorejesha Fomu za Gharama za Uchaguzi Kuondolewa Kwenye Uchaguzi!"

Buchanan

JF-Expert Member
May 19, 2009
13,199
1,969
Msajili wa Vyama vya Siasa, John Tendwa amedai kwamba wale wasiorudisha Fomu za Gharama za Uchaguzi hawataongezewa muda na wataondolewa katika kujihusiha na uchaguzi!
Kazi ipo mwaka huu, wagombea wasije wakaingia kwenye mtego huu mbaya!

Source: TBC1.
 
Wapinzani wawe macho, isiwe ni mbinu ya kupunguza wagombea wa kambi baada ya wengi kushinda rufaa za hujuma walizofanyiwa.
 
Back
Top Bottom