UN General Assembly: Mahudhurio ya JK

UN General Assembly: Mahudhurio ya JK

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Posts
18,015
Reaction score
24,960
Tangu JK aingie madarakani hajawahi kukosa mkutano wa UN general assembly hapo New York. Kwa mwaka huu mkutano huo unaanza kesho tarehe 20 September hadi tarehe 22 September 2010, na sijasoma popote kuhusu ujio wa Kikwete ambaye alizoeleka sana jijini NY kwa mahudhurio mzuri ya mkutano huo; kulikoni jamani huko serikalini?
 
na hizi siku mbili sijasikia ahadi mpya ya JK au zimeisha? aongezee ahadi ya bajaj na tela zake
 
Anawakilishwa na waziri mkuu Pinda ambaye tayari yuko New York
 
KIKWETE ANARIPOTI ya SYNOVATE inaonyesha DR. SLAA Anaongoza kwa 44% na yeye ANAFFWATIA KWA 41%. AMEPANIKI ANAAHIDI PEPO KWA WAKULIMA WA MAHIDI MANYARA.
 
huyu jamaa atawakilishwa na waziri mkuu mizengo pinda, kipindi hiki hata aambiwe kuna safari ya kwenda peponi, hawezi kukubali, hapo ni hadi awe rais ndio zitaibuka tena
 
Tangu JK aingie madarakani hajawahi kukosa mkutano wa UN general assembly hapo New York. Kwa mwaka huu mkutano huo unaanza kesho tarehe 20 September hadi tarehe 22 September 2010, na sijasoma popote kuhusu ujio wa Kikwete ambaye alizoeleka sana jijini NY kwa mahudhurio mzuri ya mkutano huo; kulikoni jamani huko serikalini?

Mkuu ni kinyang'anyiro cha Uraisi na sababu kubwa ni hii:
Kama Dr. asingegombea Urais ninauhakika JK, angehudhuria kikao hiki!!!
 
Hawezi kwenda huko,yupo busy kuwaongopea watz na upgrade ya hospitals za kidini kuwa za rufaa...
bilion 100 kwa wakulima wa mahindi,yaliyopita sindwele tugange yajayo,kesi ya mramba ni ndogo tu mpeni kura ya ndiyoooooo mambo yataisha nk nk nk................
 
Aende si itakula kwake unaweza kosa mwana na mbeleko
 
Tangu JK aingie madarakani hajawahi kukosa mkutano wa UN general assembly hapo New York. Kwa mwaka huu mkutano huo unaanza kesho tarehe 20 September hadi tarehe 22 September 2010, na sijasoma popote kuhusu ujio wa Kikwete ambaye alizoeleka sana jijini NY kwa mahudhurio mzuri ya mkutano huo; kulikoni jamani huko serikalini?

Jamaa kampeni za uchaguzi zimembanaa sanaa kwanii pamoja na fedha zote, umiliki wa vyombo vyotee bado ana changamotoo kubwaa sanaa ya kujihakikishia ushindii..

kamtuma Pinda kumwakilishaa huko ilihali yy akijaribuu tena kurejeshaa ulajii...
 
Urais kwake lingekuwa sio suala la kifamilia angesafiri!
 
Hivi tunaweza ku-quantify faida za kitaifa zinazopatikana kwa kuhudhuria social gatherings za UN ?
 
Nchi ambayo haina sera ya kueleweka ya mambo ya nje haiwezi kuwa na faida kwenye sio tu kwenye gathering hizi za UN , pia haiwezi kupata faida kubwa hata kutoka "vijiwe" vya ofisi za balozi zilizopo nchi mbali mbali
 
Sheikh Yahaya kamwongezea ulinzi na hao "walinzi" hawapatani na Marekani hivyo asingeweza kwenda maana "walinzi" wakimwacha huwa anaanguka. Ameona asije akaenda akaanguka bure. Kuna maeneo "walinzi" wake hao huwa hawaendi nae (kama Jangwani). Baada ya uchaguzi sheik wake atambadilishia walinzi na ataanza kuja ulaya
 
Angerudi walau aage na apewe heshima kama Rais Smart......

Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom