Elections 2010 Is cc...m buying all the blogs around?

Mlachake

JF-Expert Member
Oct 13, 2009
4,412
4,559
Team, I have been going Through a lot of Blogs around and am Seeing almost 90% are covered by green and yellow news!! Has anyone else noticed this?
 
You can buy Blogs but you can not buy people's opinions.

Very right...after all not more than 500,000 Tanzania wana access na internet, na kwa gharama na internet bongo wachache sana wana jeuri ya kupoteza muda kufuatilia hizo blogs, CCM wanamaliza hela zao pasipo na tija, baada ya uchaguzi sijui watawezaje kuwarudishia watu waliochanga...hasa kwa vile watashindwa!
 
Ya why not while there is more than Tsh50 bil. In field,. Coloured with green and yellow?
 
What do you expect from these seasonal blogs?...utaona baada y 31 october kama zitasurvive!
 
Very right...after all not more than 500,000 Tanzania wana access na internet, na kwa gharama na internet bongo wachache sana wana jeuri ya kupoteza muda kufuatilia hizo blogs, CCM wanamaliza hela zao pasipo na tija, baada ya uchaguzi sijui watawezaje kuwarudishia watu waliochanga...hasa kwa vile watashindwa!

Hawa jamaa wanapesa Nyingi sana. Kama Gharama za kumsafirisha Salma kwenda Musoma na Kurudi ni 20M. Unategemea nini?
Hiki ni chama ch mafisadi mkuu.
kiulize haya mabango yanayouza Sura ya Mkulu ni mangapi nchi nzima? na yanalipiwa kiasi gani? Mafisadi wanapigana kufa na kupona kuhakikisha CCM inabaki madarakani.
Wanajua fika Slaa akiingia wamekwisha. Na ukweli ndio huo!! Sababu kubwa ya CCM kuwepo madarakani hadi leo ni support ya Mafisadi.
Kama kuna anayebisha naomba nipewe jina la fisadi mmoja wa EPA na mengineyo aliyewekwa ndani? Tuachane na viini macho vya akina Lyumba.
 
CCM - They are buying everything in sake of regain power !!! I swear even blood, if they had blood has something
to do to put them back on track they will buy !!!

True hii nimeikuta A - Town live bila chenga!!! - wear kijani T-shirt and get Tsh 2000 per day.( look they give away free t-shirt and promote for 2000thou
for wearing )
 
Yes, hata huku Dar nilisikia kuwa watu walikuwa wakipewa Tshs. 2,000 kama nauli wakihudhuria mkutano (mbali na hizo Tshirt, khanga, kofia na vilemba walivyokuwa wanapata)
 
Back
Top Bottom