Kwenu wan JF, leo nimefuatilia dondoo za magazeti kwenye vituo vya tv vya MLIMANI TV, CHANEL 10, lakin sijaona wakigusa magazeti ya MWANAHALISI na RAIA MWEMA, nijuvyeni jamani, wamekatazwa au...
Taarifa niliyoisikia jana kutoka Redi WAPO FM inasema kuna wanawake watatu wamekamatwa wakikusanya vitambulisho vya wapiga kura 20 kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu octaba 31.
Wnawake hao...
I do not know what has happened to the mudslinging style of CCM and JK network in politics. All the sudden Makamba and JK network have ceased using their famous trademark of mudslinging political...
My Take:
Sijui kama nimeridhika kuwa amekanusha kuwa Synovate haikufanya inachodaiwa kufanya. Maana nasikia ndio sababu hawakutaka kwenda EATV ambako walikuwa wawepo kwa sababu JamiiForums nayo...
wakuuu JF,
Nasikia mkurugenzi wa Arusha mjini kaaanza na mkwala wa nguvu juu ya mgombea wa Chadema kwa kumtuuhumu kuwa anakampeni chafuuu??
Hivi sipati picha ni kuwa hawa wakurugenzi...
Wakuu, katika chunguza chunguza yangu nimegundua kuwa majimbo yanayoongozwa na Wabunge wa Chadema yako juu kimaendeleo hasa huduma za jamii. Mfano mzuri ni Moshi mjini na Kigoma .
Ukifika MS...
JK DAIMA NI MWENYE HURUMA!
.jpg"]
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akimsalimia na kumsikiliza msichana mlemavu Joyceline Paulo huko Rusahunga wakati...
Wakati Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Mizengo Pinda, jana tarehe 19 Septemba 2010 alipokea Tuzo kutoka Umoja wa Mataifa kwa mafanikio Tanzania iliyopata katika uandikishaji wa...
Dk. Slaa apiga kambi kwa Freeman Mbowe
Mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibroad Slaa, akimnadi mgombea ubunge katika Jimbo la Hai kupitia...
Tangu kampeni zianze nimegundua kuwa JK na CCM wako mbali na watanzania, wamejaza picha kila mahali mf kuta za nyumba, nguzo za umeme, mabango makubwa.
Pamoja na jitihada hizo mvuto wao hauko kwa...
Umaskini uliokithiri kwenye maeneo mengi hapa nchini unaelekea kuwa tishio la kuchangia kutokuwapo kwa mabadiliko yanayotarajiwa kwa kuwa hivi sasa asilimia kubwa ya Watanzania walio maskini...
Meya wa manispaa ya Kinondoni aliyemaliza muda wake, Salum Londa, `amemnanga' mgombea ubunge wa jimbo la Kawe kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Halima Mdee, kuwa anatumia...
Kuna kila dalili, ishara, hamasa,viashiria kwamba mgombea wa CCM atashinda kwa asilimia zaidi ya 88, hii inatokana na utekelezaji wake Ilani , mshikamano uliopo ndani ya CCM ,IMANI YA WATANZANIA...
MGOMBEA urais wa Chama cha Wananchi (CUF) visiwani hapa, Maalim Seif Sharif Hamad amesema akichaguliwa kuingia Ikulu, atahakikisha Zanzibar inapewa mgawo wa asilimia 11.02 badala ya 4.5...
Tumeshaona mara nyingi mambo ya serikali yakishughulikiwa na familia ya Kikwete. Pamoja na kusemwa sana hadharani, ndio kwanza familia hii inaendelea na mtindo huo. Mfano mmoja ni huu...
Monday, September 20, 2010
Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, akimnadi mgombea ubunge katika jimbo la Hai kupitia chama hicho...
Wasanii wetu kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita walisikika wakilalama kua wametelekezwa na JK kinyume na alivyoahidi wakati wa kusaka kura. leo kwa kuganga njaa ya msimu wanajitutumua...
Can we take a break and at least discuss something worthy discussing?How the Grameen bank project became a reality?How we can have effective plans for solar power in our villages?How we can set up...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.