Wakulima morogoro hawajui nini chanzo cha matatizo yao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakulima morogoro hawajui nini chanzo cha matatizo yao

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Jatropha, Sep 20, 2010.

 1. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #1
  Sep 20, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  The secret of victory votes to Ikulu

  Revealed: The secret of victory votes to Ikulu
  By Guardian on sunday team
  19th September 2010

  However, according to our analysis, Dodoma, Tanga and Morogoro remain the ruling party’s strongholds ahead of this year’s general election.

  Though economically, these regions are still underdeveloped, their support to the ruling party remains solid despite pockets of opposition mainly in urban areas.


  SOURCE: GUARDIAN ON SUNDAY

  WAKATI AMBAPO TAARIFA ILIYONUKULIWA HAPO JUU INAONYESHA KUWA MKOA WA MOROGORO NI MOJA YA NGOME KUU ZA CCM KUTOKANA NA WAKAZI WAKE, WENGI WAO WAKIWA WAKULIMA KUDAIWA KUINGIA MKONO CCM. WAKULIMA WA MKOA HUO WANAKABILIWA NA TATIZO KUBWA SANA LA MIGOGORO KATI YAO NA WAFAUGAJI,AMBAYO MARA KWA MARA HUSABABISA MAPIGANO KATI YAO, KUCHOMEANA NYUMBA NA HATA MAUAJI.

  IWAFUGAJI WENGI WALIOHAMIA MKOANI MOROGORO WANADAIWA KUTOKA MKOANI ARUSHA HUSUSAN ENEO LA LOLIONDO.

  JE NI NINI KIMESABABISHA WAFUGAJI KUTOKA MKOANI ARUSHA KUHAMIA KATIKA MAENEO YA WAKULIMA KAMA VILE MKOA WA MOROGORO KWA WINGI KIASI HICHO, TOFAUTI NA ILIVYOKUWA KATIKA UTAWALA WA MWALIMU NYERERE?

  KATIKA UTWALA WA MWALIMU HAIKUWAHI KUSIKIKA MAPIGANO KATI YA WAKULIMA NA WAFUGAJI KUTOKANA NA MAHITAJI YA ARDHI YA MAKUNDI MBALI MBALI YA WANANCHI KUHESHIMIWA, TOFAUTI NA VIONGOZI WA CCM BAADA YA MWALIMU AMBAO HUESHIMU MAHATAJI YA WAWEKEZAJI HATA KAMA NI KIAMA CHA WATANZANIA WANYONGE.

  WAGOMBEA WA UPINZANI MKOANI MOROGORO WANATAKIWA KUWAPATIA WAKULIMA WA MOROGORO ELIMU KUHUSU VITENDO VYA KIFISADI VILIVYOFANYWA NA UTAWALA WA AWMU YA PILI CHINI YA CCM NA KURATIBIWA NA KAMPENI MENEJA WA CCM WA SASA NDG ABRAHAMNA KINANA ALIPOKUWA NI WAZIRI WA ULINZI.

  WOTE TUNATAMBUA KUWA MAPIGANO JKATI YA WAKULIMA NA WAFUGAJI SEHEMU MBALI MBALI ZA NCHI YETU NI MATOKEO YA UFISADI HUO WA KUBINAFISISHA ENEO LOTE LA LOLIONDO KWA
  MWEKEZAJI WA KIARABU AITWAYE BRIGEDIA KWA AJILI YA SHUGHULI ZA UWINDAJI NA KUHAMISHA WANYAMA WETU WAKIWA HAI KUPELKEA KWAO UARABUNI.

  KUTIOKANA NA UFISADI HUO WAFUGAJI WA KIMASAI WALIOKUWA WAKIISHI NA KULITUMIA ENEO LA LOLIONDO KWA AJILI YA UFUGAJI PASIPO KUINGILIANA NA WAKULIMA KABISA WAKAFUKUZWA KUTOKA ENEO HILO NA KULAZIMIKA KUHAMIA KWA WINGI MKOANI MOROGORO NA KWINGINEKO KUCHANGANYIKA NA WAKULIMA.

  NA KUTOKEA HAPO WAKULIMA WA MKOA WA MOROGORO WAMEKUWA WAKIPOTEZA MAZAO YAO KUTOKANA NA KULIWA NA MIFUGO. HALI HII IMEPELEKEA KUWEPO KWA MAPIGANO MAKALI KATI YA WAKULIMA NA WAFUGAJI, IDADI KUBWA YA WAKULIMA NA WAFUGAJI WAMEPOTEZA MAISHA KUTOKANA NA MAPIGANO HAYO, MALI ZA MAMILIONI YA SHILINGI KUHARIBIWA, NYUMBA KUCHOMWA MOTO NA USUMBUFU WA KILA AINA KUTOKANA MPAIGANO.

  WAKALIMA WA MOROGORO MARA KWA MARA WAMEKUWA WAKILALAMIKA KUWA VIONGOZI WA VJIJI, NA WATENDAJI WA VIJIJI NA KATA WAMEKUWA WAKIRUHUSU MAZAO YAO KULIWA NA MIFUGO YA WAFUGAJI BAADA YA KUCHUKUA RUSHWA KUTOKA KWA WAFAGAJI NA KUTOCHUKUA HATUA ZOZOTE. WAGOMBEA WA UPINZANI WAWAELIMIHSE WAKALIMA WA MOROGORO KUWA WAKATIA WA KUALALAMIKA UMEKWISHA HIVYO WACHUKUE HATUA ILI KUKOMESHA RUSHWA KAMA HIZO

   
 2. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #2
  Sep 21, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  jana tarehe 20 september 2010 kwenye taarifa ya habari ya tbc wakulima hawa wa morogoro walikuwa wakiwalalamikia vikali wenyeviti na watendaji wa vijii na kata kwa kuchukua rushwa kutoka kwa wafugaji na kuruhusu mifugo kuingia katika mashamba ya wakulima, mkuu wa wilya wa morogoro vijijini ndg thabiti mwambungu akawaahidi wakulima hao kuwa ataunda tume kuchunguza tuhuma hizo. Swali ni je tanzania imeshaunda tume ngapi kufuatilia tuhuma mbali mbali na matokeo yake kutowekwa hadharani.

  Wapinzani tumieni nafasi hiyo kuwaelimisha wakulima wa morogoro
   
Loading...